Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa
1732423297835.jpg
.

Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako.

......usijimalize sana dadangu.
 
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewaView attachment 3159963.

Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako.

......usijimalize sana dadangu.
Unaweza kuishi bila kuolewa na usipungukiwe kitu don’t overrate suala la kuolewa.
 
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewaView attachment 3159963.

Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako.

......usijimalize sana dadangu.
 
Na kuolewa si kuolewa....
Bado safari inaendelea hapo
 
Pole ya nini?
Mbona pole yako imekaa kikuda sana.
Hivi msiba ushamaliza kulia wewe,au ndo wale kina baba no care?
Mbona makasiriko mkuu 😂😂😂,alafu msiba gan huo usio Isha ad Leo mwez unakalibia kuisha mkuu niwe nao umekua ruba uning'ang'anie kuas iko
 
Back
Top Bottom