DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke.
Katika kauli yake, alisema kuwa wao kama vijana wa UVCCM wanasimama na Mama — yaani Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia CCM. Alieleza kuwa wanaunga mkono falsafa ya FR badala ya 4R, hususan katika vipengele vya maridhiano, ustahimilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa taifa.
Alimalizia kwa kusema: “Sisi kama vijana tushiriki uchaguzi na tuache vurugu. Sisi CCM tumejipanga, na hatutakubali maandamano yoyote yatakayozuia kufanyika kwa uchaguzi.”