gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kwa hiyo hapa kwa picha hizi inabidi tayari nikuamini!?View attachment 3526293View attachment 3526294
Huyo dogo anaitwa Said Mchumula haya unasemaje hapo napo?
Kwa hiyo hapa kwa picha hizi inabidi tayari nikuamini!?View attachment 3526293View attachment 3526294
Huyo dogo anaitwa Said Mchumula haya unasemaje hapo napo?
Tazama ongo hili!Kila ibada lazima jina la Pope aliyepo litajwe. Mkatoliki anayeenda kanisani walau mara 2 kwa mwezi lazima ajue jina la Pope na la Askofu wake. Maana kila ibada yanatajwa kwa kuwaombea
Leta ukweliTazama ongo hili!
Hayo wewe umeyatoa wapi, mbona andiko halisemi hivyo?Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Aliitamka Michaeli kama ilivyoMichael kiswahili mikaeli
Maandamano bila kibali yanaruhusiwa tu endapo yatakuwa na lengo la kuisafisha CCM na raisi wake.Hivi maandamano bila kibali yameruhusiwa rasmi 2026?
Kwahiyo siku Gen -Z wakiamua kwenda ubalozi wa US au ofisi za DPP ni ruksa?
Kuna siku watapewa suprise tena kama ya October 29 na itakua kubwa zaidi ndio akili zitawarejea.Maandamano bila kibali yanaruhusiwa tu endapo yatakuwa na lengo la kuisafisha CCM na raisi wake.
Kinyume na hapo itakuwa ni Oct.29 the Revival episode.
Hapo utatoka na magonjwa ya kila ainahuyu dawa nikumuingilia kimwili ..Hawa hawatombwi vizuri na haya ndio matokeo yake
Kumuamini au kutokumuamini mtu ni utashi wa mtu mwenyewe ,pamoja na upande wako ulionao nikueleze kiurafiki tu ,Kwa hiyo hapa kwa picha hizi inabidi tayari nikuamini!?
Zimesimama au mmefungia koki kutoka USA. Muachilieni Mange aruke hewani muone kama hicho mnachosema kina ukweli.Igizo limefanikiwa malengo yake, mada za haki na amani, maridhiano na maungamo, chuki na mwiko, uchafuzi na uchaguzi, vijana na vijuzi nk, zimesimama kwa muda.
Jamaa mabaguzi hawa! Hapo hata mkate hatapokea tena.Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Kwamba atombwe mbele na nyuma auhuyu dawa nikumuingilia kimwili ..Hawa hawatombwi vizuri na haya ndio matokeo yake
Wakatoliki wote wanamjua papa na jina lake?
Umewauliza wakatoliki wote wakakwambia wanamjua papa kwa jina?.. sababu hapa igunga nipo na wakatoliki wengi na hawamjui jinaWw nae kwa hoja tu nishajua ni mtoto mdogo. Ukizidi sana miaka 22.
Nakupuuza.
Mm sio mkatoliki ila najua jina la papa. Najua pia huyo papa wa 16 amefariki. Sasa mkatoliki ambae anaenda kanisan hajuije? .
Wakat papa alivyofarik wakatolik wote wanlitangaziwa. Na papa aliyechaguliwa mpya wakatoliki wote waliambiwa.
The fact kuwa hajui papa ni ishara tosha kuwa yeye sio mkatoliki na ila pia ni mjinga kama wewe.