Wakuu, huyu hapa dada mkatoliki akichangia kwenye kipindi cha malumbano ya hoja cha ITV na kujitambulisha kama Lucy Antony Michael katibu wa UVCCM akitokea wilya ya Temeke. hapo vipi?
Swali lako ni zuri sana ukiliuliza kwa juu juu ila ukitafakari utaelewa kwanini wahusishwe na ccm hata kama ni Wakatoriki,Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Adriz huyo dada siyo mkatoliki ni Morovian. Watu wana details zake zote.Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Hivi maandamano bila kibali yameruhusiwa rasmi 2026?Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Ila wakatoliki hawana ule utoto wa jana.Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Hoja ni kuwa yeye si mkatoliki ni MSABATO(SDA)Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Huwezi kuwa mkatoliki na CCM?Ogopa teknolojiaaa
Hao jamaa akili zao zinashangaza,mkapa hakuwa mkatoliki sababu alikua mwenyekiti wa CCMKwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?
Michael kiswahili mikaeliKwaninj jana alikuwa anaweweseka hadi kujiita "lucy michaeli"?
Jibu unalo ila unajitoa ufaham.Huwezi kuwa mkatoliki na CCM?
Na ww huelewi naona.Kwani dhambi mkatoliki kuwa CCM au haiwezekani ?