Dada nataka nikavunje agano la kujinyonga kwetu mwezi august, leo kajinyongaa dah

Dada nataka nikavunje agano la kujinyonga kwetu mwezi august, leo kajinyongaa dah

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Inasikitisha sana sana

Rey maagano hayasemwo hadharani jamanii

Kijana mmoja ofisi kubwa tu mwezi july tulikaa nae mlimanicity na ndugu kadhaa akamwambia dadake dada nakuhakikishia haya maisha tusipovunja maagano tutaishaa

Naombaa nikujulishe august 5 naenda kupambana kila kona niv7nje haya maagano tumekufa sana kwa kujinyonga..dada akamtakia kheriii

Rey yule yule..amekutwa kajinyonga jioni hii wapendwa

Inaumixa sanaa na wewe kama una maagano ya

Pombe

Ngono

Kifo

Amka ila usitangazeee jipange unavyotangaza unachilia vita na maagano ya ukoo nk
 
Hii kitu nilishaisikia. Mtu akijinyonga ulifuatilia huko nyuma kuna mtu alijinyonga na hawakuvunja maagano!
 
Mbona leo kaandika vizuri yanasomeka! Unaujua mwandiko wa Pdidy Wewe 😂 😂 😂 ?
Mgrni huyu anasubiri kukataa kambaaaa kunijua ngumu labda anielewe kduuuchuuu
Hahahahaahqhhhaaaasomebodysayameeeeeeeeeeeeennnbn powereree
 
Ngono nayo ni uleviii --- adiction --- ukishaonjaaa tamu basii ni mwendo wa kuonja onjaa
Mengine n maagano mpwaaaa

Yaan hii imenishtuaaa sanaaa kuanzia keshooo naanza kupunguzaa idadi ya bia

Maana kwetu ukikoseaa ukaonjaaa kamojaaaa yaan kama tbl iko tumboni agiza niagizeee hapoo ndipo unakutana na bili za 50000 umekunywa biaa saba

Nakataqq n Jesus Name

Binafsi nimeanza kujitnga na marafiki walevi
 
Vipi kuhusu maagano ya chaputa maana naskia walioingia huko hawawezi kutoka
 
Back
Top Bottom