Uchunguzi unaendelea....Ngoja nikusomee mashitaka yako ili ukianza kuhukumiwa uyajue makosa yako:
1. Umefanyia italics mwandiko, sababu ni nini, kwanini ufanye mwandiko uwe wa mlalo ili iweje?
2. Unaandika uzi kama habari mpasuko ila ndani yake details hazijanyooka. Hii ni kuwakosea heshima watu wanaotumia bundle kusoma nyuzi zako.
3. Umetuandikia taarifa utadhania na sisi tunawajua wahusika.
4. Umeandika haraka haraka utadhani unakimbizwa na kundi la majangiri sasa unatuma S.O.S text kwaajiri ya kupewa msaada kwa kikosi cha uokoaji.
#
Uchunguziii unaendeleaaaa5. Haujaeleweka katika muktadha wa kisa kama story,ila tumejua tu kuwa kuna mtu amejiuwa binafsi sijaelewa ni nani na ilikuwaje.
Jirekebishe. Hii ni tabia mbaya sana eneo la uandishi. Na ukiwa na hii tabia inakufanya usipewa umakini siku nyingine kwa kuandika nyuzi kwa kukurupuka.
Ngoja nikusomee mashitaka yako ili ukianza kuhukumiwa uyajue makosa yako:
1. Umefanyia italics mwandiko, sababu ni nini, kwanini ufanye mwandiko uwe wa mlalo ili iweje?
2. Unaandika uzi kama habari mpasuko ila ndani yake details hazijanyooka. Hii ni kuwakosea heshima watu wanaotumia bundle kusoma nyuzi zako.
3. Umetuandikia taarifa utadhania na sisi tunawajua wahusika.
4. Umeandika haraka haraka utadhani unakimbizwa na kundi la majangiri sasa unatuma S.O.S text kwaajiri ya kupewa msaada kwa kikosi cha uokoaji.
5. Haujaeleweka katika muktadha wa kisa kama story,ila tumejua tu kuwa kuna mtu amejiuwa binafsi sijaelewa ni nani na ilikuwaje.
Jirekebishe. Hii ni tabia mbaya sana eneo la uandishi. Na ukiwa na hii tabia inakufanya usipewa umakini siku nyingine kwa kuandika nyuzi kwa kukurupuka.
PesaYapooooo
Kuna ukooo umeandikiwaaaa siyooo hata uwape mil 100
Imeishaa n kiliooo tu
Roho ya kupotezaa
😁😁😁😁😁😁😁😁Mwandiko kama wa Rey mwenyewe 😁
Pombe achana nayo huwezi jinyonga umelewa ,leta bapa tuendeleee na maisha