Dada nataka nikavunje agano la kujinyonga kwetu mwezi august, leo kajinyongaa dah

Pombe achana nayo huwezi jinyonga umelewa ,leta bapa tuendeleee na maisha
Min-me njoo huku mpwaaaaaa....upihe maombiii wamegusaa sekta yetuh tukufuuu
 
Ngoja nikusomee mashitaka yako ili ukianza kuhukumiwa uyajue makosa yako:

1. Umefanyia italics mwandiko, sababu ni nini, kwanini ufanye mwandiko uwe wa mlalo ili iweje?

2. Unaandika uzi kama habari mpasuko ila ndani yake details hazijanyooka. Hii ni kuwakosea heshima watu wanaotumia bundle kusoma nyuzi zako.

3. Umetuandikia taarifa utadhania na sisi tunawajua wahusika.

4. Umeandika haraka haraka utadhani unakimbizwa na kundi la majangiri sasa unatuma S.O.S text kwaajiri ya kupewa msaada kwa kikosi cha uokoaji.

5. Haujaeleweka katika muktadha wa kisa kama story,ila tumejua tu kuwa kuna mtu amejiuwa binafsi sijaelewa ni nani na ilikuwaje.

Jirekebishe. Hii ni tabia mbaya sana eneo la uandishi. Na ukiwa na hii tabia inakufanya usipewa umakini siku nyingine kwa kuandika nyuzi kwa kukurupuka.
 
Uchunguzi unaendelea....
Uchunguziii unaendeleaaaa
 


6.7.8.9.10

Inaendeleeeeaaaaa tenaa
 
Kwani kujinyonga ni tatizo ? Acheni kuzaa watoto ,mnajipa mzigo bure.
 
Huu uzi ni kama wa kutangaza biashara ya mganga wa kienyeji kwamba ni mtaalamu wa kivunja maagano ya kujiua,ngono n.k sasa jichanganyeni mtapeliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…