Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Umeshamchoka mchoka tuu, labda kafanya hayo akijua ni mapenzi tu?? Labda anahamu kukuona, labda anataka kuona vile wampenda na kutunza ahadi zako? Huwez kumuhukumu mtu hana akili kwa hilo jambo ambalo limekaa kimapenzi zaidi. Kifupi wew ndie huna akili kuja na kumdhalilisha mwenzio humu.
 
Msamehe ,hao watu(% kubwa) wanaendeshwa kwa hisia na si akili ,angekuwa ana akili ni bora angesema umlipie Bolt maana hao watu(% kubwa) wanapenda KITONGA sana ,unaweza ukakuta account yake ya Bank ina hata 5m lakini kuchukua Bolt kwa hizo siku ambazo gari yake inachangamoto anaona ubahili wakati huko anapoenda kazini ndipo panapompatia fedha.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitumie Elfu 50 schukue Bolt ya kumpelekea na kumrudisha.

Haya ndiyo mambo ninayojiepusha nayo kuwa na ukaribu na kiumbe Mwanamke

Mwanamke ukishajenga nae ukaribu tu lazima hela ikutoke, Mimi sitaki hela initoke Nina ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…