Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Hapana. Hizo safari nyingine nlikuwa naunganishia za kikazi. Moja tu ambayo nlitoka Dar to Nzega kwa ajili yake. Nyingine zilikuwa za kikazi ila namuungia kuwa naenda for her.
Hapo sawa, itabidi uka-comment kwenye ule Uzi wa Umbali mrefu uliosafiri kuifata Nyuchi

Maana Kwa haraka wewe umeisafiria zaidi ya 1120km kwenda na kurudi ๐Ÿ˜œ
 
Ulilazimisha sana!

Safari ya kwanza ingetosha kabisa kukukatisha tamaa na kutoendelea!!

ungeepuka visasi visivyo na maana!! Wahivyo una mwacha kama alivyo!!

Mimi naamini first impression Kwa mtu yeyote kwangu,hiyo ndio Ina define future kwenye mahusiano yenu yajayo!!

akikudharau TU,usije jaribu Tena kuwa nae hata kama akirudisha moyo tena!!

first impression speaks volumes !!

siku nyungine usirudie hiyo coz unaongeza idadi ya maadui kiroho ambao roho zao zikikulilia zitaathiri hatma yako somewhere in universe!!
 
Wakuu hizi mambo zipo na tushakutana nazo huku.
Hii kesi bado yamoto.
Tatizo wanakuwa na matarajio ya kupiga pesa akizinduka kapogwa yeye
View attachment 2934324
Pole Mkuu

Watu wa hivyo unatakiwa kupiga kimya

Unasoma meseji zao status lakini unaendelea na yako

Kwanza unalinda Wallet yako ๐Ÿ˜œ
 
Ulimloga au ndo ulipaka...
 
Umetumia muda mwingi kuandika story, umejichosha, na sikuimaliza yote kuisoma. So, Sina hakika kama unachosema ni kweli! Huyo binti pia una uhakika gani hakujiunga jamiiforum! Aleyommba gekke nkoy una uhakika hana smart phone!
 
Kama story yako ni ya ukweli safi sana baharia!!!
 
wewe tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi ndio mbaya kabisa ukiniletea drama.
Narudia, kwenye drama mimi sifai hata kunijua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nachukia dharau na drama haina mfano.
1. Mwanamke mropokaji
2. Mwenye drama
3. Anayejijali yeye tu

Hawa ni adui zangu.
Ukiwa muelewa mimi ni falla wako kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ