Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache.
1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza kesi ya madawa ya kulevya mtoto wa Dr. Mengi IPP.
2: Watu waliokuwa wanamfatilia Dr Mwakyembe kutaka kumdhuru.
3: Rage kutoa bastola kwenye mkutano wa kampeni.
4: Kauli ya Mwigulu kwa watu wa Arusha kuwa wasipochagua CCM watakufa.
5: Kauli ya mbowe kuwa ana Ushahidi wa mrusha bom na kuua watoto ..
6: Kauli ya Nape kuwa walioripua bom Arusha ni chadema wenyewe.
8: Kauli za mwigulu kuwa ana ushahidi wa filamu ya Rwakatare akipanga ughaidi
9: Wale vijana waliotapeliwa fedha kwa ajira za polisi na usalama wa Taifa na wahusika ni vigogo polisi.
10: Uchunguzi wa Dr. ulimboka. Kifo cha Mwangosi.
11: Taarifa za kuwa mtekaji wa msitu wa pande ni Igondhu Rama. Na mengine mengi tu.