Dada senso na majibu ya polisi

Dada senso na majibu ya polisi

Kibagata

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
773
Reaction score
135
Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache.

1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza kesi ya madawa ya kulevya mtoto wa Dr. Mengi IPP.

2: Watu waliokuwa wanamfatilia Dr Mwakyembe kutaka kumdhuru.

3: Rage kutoa bastola kwenye mkutano wa kampeni.

4: Kauli ya Mwigulu kwa watu wa Arusha kuwa wasipochagua CCM watakufa.

5: Kauli ya mbowe kuwa ana Ushahidi wa mrusha bom na kuua watoto ..

6: Kauli ya Nape kuwa walioripua bom Arusha ni chadema wenyewe.

8: Kauli za mwigulu kuwa ana ushahidi wa filamu ya Rwakatare akipanga ughaidi

9: Wale vijana waliotapeliwa fedha kwa ajira za polisi na usalama wa Taifa na wahusika ni vigogo polisi.

10: Uchunguzi wa Dr. ulimboka. Kifo cha Mwangosi.

11: Taarifa za kuwa mtekaji wa msitu wa pande ni Igondhu Rama. Na mengine mengi tu.
 
Maafisa usama wote wanaotumiwa wapo hatarini.
Kuna mkakati ambao maafisa usalama hawajijui, kwa kupofushwa na dhana waliyojijengea kuwa wa niThe Peters (THE most Favoured Disciple). Mkakati huu ni wa kuwa terminate maafisa wote weny damu 'mikononi' na kwenye 'mavazi' yao.
Lengo la kuwamaliza ni ya mkakati wao wa kuhakikisha mipango na siri zao hazivuji, maana hawana imani na maafisa hao kutokana na namna walivyofanikiwa kuwaweka mikononi na kuwatumia kirahisi, wanahisi inawezekana wakaangukia kwenye mikono mingine na kuuza mipango yao yote kwa wapinzani wao.
Kati ya mbinu zitakazotumiwa kuwa terminate ni.
Ajali, magonjwa, kuwafilisi na kutengenezea kuwa wamejimaliza kwa stress (frustration), mapenzi, kugeukana kwenye deals n.k.
Baadhi ya mipango ilishaanza, mingine ilikamilika, mingine ni suala la muda tu.
 
Naongezea Mh.IDD SIMBA kuweka pesa za umma kwenye akaunti binafsi
 
Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache.

1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza kesi ya madawa ya kulevya mtoto wa Dr. Mengi IPP.

2: Watu waliokuwa wanamfatilia Dr Mwakyembe kutaka kumdhuru.

3: Rage kutoa bastola kwenye mkutano wa kampeni.

4: Kauli ya Mwigulu kwa watu wa Arusha kuwa wasipochagua CCM watakufa.

5: Kauli ya mbowe kuwa ana Ushahidi wa mrusha bom na kuua watoto ..

6: Kauli ya Nape kuwa walioripua bom Arusha ni chadema wenyewe.

8: Kauli za mwigulu kuwa ana ushahidi wa filamu ya Rwakatare akipanga ughaidi

9: Wale vijana waliotapeliwa fedha kwa ajira za polisi na usalama wa Taifa na wahusika ni vigogo polisi.

10: Uchunguzi wa Dr. ulimboka. Kifo cha Mwangosi.

11: Taarifa za kuwa mtekaji wa msitu wa pande ni Igondhu Rama. Na mengine mengi tu.
12. Mahali walipo askari waliokutwa na magunia 18 ya Bangi.

13.Milioni 150 zilizoibiwa pale Polisi Msimbazi hatima yake nini.

14.Vitu vilivyokuwa vimetegwa kwenye chumba cha Dr Slaa kule Dodoma wakati akiwa Mbunge ninini!

16.Zile SUKARI NA PILAU zilizogawiwa wazi kwa wananchi wa Igunga kabla ya uCHAGUZI zilitolewa kwa mazingira gani.

17. Wale Magaidi walioalikwa na CHADEMA toka nchi ya Kuwait ili kuvuruga uchaguzi wa Igunga wako kwenye jela la mkoa gani hadi sasa?

18.Waliomwua Kamanda Barlow hukumu yao imesemaje.

19.Waliowatesa Wabunge wa CDM mashitaka yao hadi leo yana utata gani.

20. Hatima ya Bomu la Olasiti nini, na yule kijana aliyekuwa anashikiliwa yuko wapi na amegundulika kuwa na hatia gani!

21. Wale askari wa Morogoro waliombambikiza ndg Mura kichwa cha mtu walipewa hukumu gani au walitoroka mikononi mwa Polisi!
 
21. Wale askari waliombambikiza mtuhumiwa kichwa cha mtu walipewa hukumu gani au walitoroka mikononi mwa Polisi!
22.Ripoti mabovu ya Mbagala /Gongo la mboto
23.Ripoti ya uchunguzi ya Askari yule aliyejiua kule Tarime kwa kuupotosha msafara wa JK
 
Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache.

1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza kesi ya madawa ya kulevya mtoto wa Dr. Mengi IPP.

2: Watu waliokuwa wanamfatilia Dr Mwakyembe kutaka kumdhuru.

3: Rage kutoa bastola kwenye mkutano wa kampeni.

4: Kauli ya Mwigulu kwa watu wa Arusha kuwa wasipochagua CCM watakufa.

5: Kauli ya mbowe kuwa ana Ushahidi wa mrusha bom na kuua watoto ..

6: Kauli ya Nape kuwa walioripua bom Arusha ni chadema wenyewe.

8: Kauli za mwigulu kuwa ana ushahidi wa filamu ya Rwakatare akipanga ughaidi

9: Wale vijana waliotapeliwa fedha kwa ajira za polisi na usalama wa Taifa na wahusika ni vigogo polisi.

10: Uchunguzi wa Dr. ulimboka. Kifo cha Mwangosi.

11: Taarifa za kuwa mtekaji wa msitu wa pande ni Igondhu Rama. Na mengine mengi tu.
12:Kuteswa na kutolewa jicho ASALOM KIBANDA
 
22.Ripoti mabovu ya Mbagala /Gongo la mboto
23.Ripoti ya uchunguzi ya Askari yule aliyejiua kule Tarime kwa kuupotosha msafara wa JK

24. Mtuhumiwa aliyemchinja mwenyekiti wa chadema usa-river arusha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
IGP apelekewe i thread akatoe majibu ya uhakika
Tanzania Kwanza Chama Baadaye
 
24. Mtuhumiwa aliyemchinja mwenyekiti wa chadema usa-river arusha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Maombi yangu ni kutokea kwa jambo litakalo wafanya polisi wa Tanzania akiwemo huyu ma.l.ay...a Senso wajue kuwa Ccm ni wahalifu na wanastahili kifo cha hadharani na litakalo wafanya polisi waogope raia au waheshimu raia..Naamini yupo au atazaliwa mtu atakaye tumia damu kudai haki za watanzania mikononi mwa Polisi wauaji na wakoloni wabaya kabisa Ccm..Hope watakakufa kwa milipuko na risasi waliotumia kuua watanzania,watang'olewa meno na kucha kama walivowatesa watanzania na watachinjwa kwa mashine za kukata miti kama walivo muua mbwambo watalipuliwa matumboni kama walivomlipua mwangosi mungu tusaidie mambo haya yatokee ndani ya mwaka huu huu
 
12. Mahali walipo askari waliokutwa na magunia 18 ya Bangi.

13.Milioni 150 zilizoibiwa pale Polisi Msimbazi hatima yake nini.

14.Vitu vilivyokuwa vimetegwa kwenye chumba cha Dr Slaa kule Dodoma wakati akiwa Mbunge ninini!

16.Zile SUKARI NA PILAU zilizogawiwa wazi kwa wananchi wa Igunga kabla ya uCHAGUZI zilitolewa kwa mazingira gani.

17. Wale Magaidi walioalikwa na CHADEMA toka nchi ya Kuwait ili kuvuruga uchaguzi wa Igunga wako kwenye jela la mkoa gani hadi sasa?

18.Waliomwua Kamanda Barlow hukumu yao imesemaje.

19.Waliowatesa Wabunge wa CDM mashitaka yao hadi leo yana utata gani.

20. Hatima ya Bomu la Olasiti nini, na yule kijana aliyekuwa anashikiliwa yuko wapi na amegundulika kuwa na hatia gani!

21. Wale askari wa Morogoro waliombambikiza ndg Mura kichwa cha mtu walipewa hukumu gani au walitoroka mikononi mwa Polisi!

22. Muhusika wa kukodi watu waliofanya fujo kwenye mkutano wa CDM Huko NDAGO, IRAMBA na ambaye hata polisi waliokuwepo kwenye mkutano wamemtaja mahakani Singida atakamatwa lini???
23.Wauaji wa makada wa CDM kule Igunga ni akina nani na wanakamatwa Lini??? maana tunasikia habari ya yule anayedaiwa kuwa mwana ccm aliedai kumwagiwa Tindikali tu huku wale walioua wakiwa huru mitaani.
24. Askari waliokuwa kwenye dili la kusafirisha bangi kwa kutumia Gari ya polisi kule Moshi wako wapi?
25.Askari waliosaidia kutoroka kwa mtuhumiwa wa kusafirisha bangi kule moshi wako wapi?
 
24. Mtuhumiwa aliyemchinja mwenyekiti wa chadema usa-river arusha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
25. Waliomuuwa Kombe wapo wapi?
27. Askari waliouwa wananchi pale songea wako wapi?
28. Wale waliombambikia fuvu la binadamu mfanyabiashara kule morogoro wako wapi? Na lile fuvu ni la nani na aliuwawa vipi?
 
Wamefumbia macho maovu mengi sana. Nina wasiwasi sana siku wananchi 'wakichoka' na hiyo mezea mezea ya polisi
 
Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache.

1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza kesi ya madawa ya kulevya mtoto wa Dr. Mengi IPP.

2: Watu waliokuwa wanamfatilia Dr Mwakyembe kutaka kumdhuru.

3: Rage kutoa bastola kwenye mkutano wa kampeni.

4: Kauli ya Mwigulu kwa watu wa Arusha kuwa wasipochagua CCM watakufa.

5: Kauli ya mbowe kuwa ana Ushahidi wa mrusha bom na kuua watoto ..

6: Kauli ya Nape kuwa walioripua bom Arusha ni chadema wenyewe.

8: Kauli za mwigulu kuwa ana ushahidi wa filamu ya Rwakatare akipanga ughaidi

9: Wale vijana waliotapeliwa fedha kwa ajira za polisi na usalama wa Taifa na wahusika ni vigogo polisi.

10: Uchunguzi wa Dr. ulimboka. Kifo cha Mwangosi.

11: Taarifa za kuwa mtekaji wa msitu wa pande ni Igondhu Rama. Na mengine mengi tu.

Jibu mbona lipo obvious, utaambiwa bado uchunguzi wa kina unaendelea!!!!
 
Back
Top Bottom