Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.
Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.
JIREKEBISHE BANA..
Sasa ungemuona hiyo siku aliyo "perform" hapa Washington ndio ungechoka.....eti anatuuliza sisi washabiki ''mie mzuri sio mzuri"? "nimewazidi waamerica sijawazidi"? "mie ni mzuri na nimeshushwa na Mungu"
Bahati yake sana alikuja na masanja aliyejitahidi sana kuua so kila alipokuwa anasema pumba zake. Bahati yake show yenyewe ilikuwa bure, otherwise tungemdai kiingilio.
mkuu nikisema kila siku namaanisha mara kwa mara
mbona watu kila siku tuko angani uyo dada akutegemea katika maisha yake kusafiri siyo makosa yake
je kuna mtu alimuona akihojiwa na mboni ....yaani zero kabisa hajui kujieleza hata kidogo!
Kwahiyo ulitaka tumpambe na kumsifia kama mazuzu wenzake wa Wafu Fm?huko ni kumkandia kabisa dada wa watu jamani duh!!!
i didnt mean so mkuuKwahiyo ulitaka tumpambe na kumsifia kama mazuzu wenzake wa Wafu Fm?
Kwahiyo ulitaka tumpambe na kumsifia kama mazuzu wenzake wa Wafu Fm?