TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 871
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.
Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.
JIREKEBISHE BANA..
muwe mnaangaalia IQ ya mtu kabla ya kulaumu....ndio upeo wake huo....mtakuja kulaumu hadi wendawazimu humu....i was somewhere nikamsikia wakati anasaidiwa kujaza visa application......msameheni tu yuko empty upstairs