Dada Shilole kwa hili hapana..!

Dada Shilole kwa hili hapana..!

Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.

Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.

JIREKEBISHE BANA..

muwe mnaangaalia IQ ya mtu kabla ya kulaumu....ndio upeo wake huo....mtakuja kulaumu hadi wendawazimu humu....i was somewhere nikamsikia wakati anasaidiwa kujaza visa application......msameheni tu yuko empty upstairs
 
Sasa ungemuona hiyo siku aliyo "perform" hapa Washington ndio ungechoka.....eti anatuuliza sisi washabiki ''mie mzuri sio mzuri"? "nimewazidi waamerica sijawazidi"? "mie ni mzuri na nimeshushwa na Mungu"

Bahati yake sana alikuja na masanja aliyejitahidi sana kuua so kila alipokuwa anasema pumba zake. Bahati yake show yenyewe ilikuwa bure, otherwise tungemdai kiingilio.

haah! Haah! Haah! Kwel hii kubwa kuliko,
 
Huyu dada tusimlaumu sana Uwezowake ndoulipofikia,ana IQ chini ya 70 so kwake yeye ni sawa tu.
 
je kuna mtu alimuona akihojiwa na mboni ....yaani zero kabisa hajui kujieleza hata kidogo!
 
mkuu nikisema kila siku namaanisha mara kwa mara

Unaweza hata kuwa Pilot au assistant au hata cabin member kk kuwa angani kila siku still possible kwani local flights si ziko angani kila siku? Kwa wasiokuelewa watakuquestion ila ni possible mtu kuwa angani kila siku! So uko right mkuu wanaokupinga ubishi ni culture yao
 
Si nasikia hata huko Washington aliwahi kwenda Super Market akiwa kavaa Taulo tu kifuani eti kuulizwa anadai huku watu hawana time na mtu kila mtu na time zake! Kweli masikini akipata ------ hulia mbwata na huyu hajapata bado ila mitako tayari inalia Mbwata.
 
teh teh hamna lolote hamkawii kusikia amepeleka madawa huko tunaanza kusikia mmoja mmoja
 
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.

Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.

JIREKEBISHE BANA..

shilole ana elimu gani? alikotoka-background yake......ukishajua unajinyamazia!!
 
mlimsikia jana kwenye kipindi cha ala za roho, alikuwa na snura? Anatafuta bifu za kutafuta kwa snura@ kwel majanga!
 
Back
Top Bottom