Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
watu kama wewe ndo mnasababisha wanaume wa Dar tunadhalilishwa na washamba wa mikoani
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Domo zege tu
Alafu sijui kwa nini mwanaume anakosaga ujasiri mbele ya mwanamke anayemzimika...hata akiona bandiko hili hataku-pm. keshajua hujiamini ndo maana hukuomba namba pale pale
[emoji23] [emoji23]Domo zege wewe..! Ulikuwa na mandazi mdomoni nini?
Hayo ni madhara ya kuvuta shisha mkuu!Duh...umepata hadi nafasi ya kuchat nae, bado unakuja kumtafuta huku jf!
Jamaa amedata!Domo zege tu
Yeye na goli sio na kipa.Hizi ndo tunaita "forward butu" ngoma upo na kipa unapaisha
naona ulizuga hapo unataka kuchaji aifo n seven yako kumbe unataka kuomba namba tu
Kwenye mpira tunasema false nine...ak.a kiungo anachezeshwa nafasi ya strikerHizi ndo tunaita "forward butu" ngoma upo na kipa unapaisha
Hahahahaa exactly mkuuKwenye mpira tunasema false nine...ak.a kiungo anachezeshwa nafasi ya striker