Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

Ukutane na mtu huko ushindwe kuomba namba.
Hapa labda upige ramli mkuu.
Awali ni awali.
 
Ha ha ha. Pole mkuu. Ila wasiwasi wangu ni kuwa huko PM kwako zitakuja versions/copy nyingi za huyo dada na zote zita-claim kuwa yeye. Kazi unayo mkuu ya kuchambua pumba na mchele hasa ukizingatia kuwa wote watakuja na fake IDs. Unless huu ni mtego wako maalum ili unase viburudisho aina kwa aina....beware mkuu!!
 
Sasa kama ni mke wa mtu je mumewe akiliona hili bandiko lako na akalielewa kama wengi walivyokuelewa itakuajeeee


Ok

Kuna dawa inawza kukusaidia nayo ni hii hakikisha kosa kama hili hslijirudii tenaaaaaaaaa
 
Huu ugonjwa wa uDomo zege bado upo tu....oneni mleta mada anavyoweweseka mitandaoni

Coward of the country
 
Back
Top Bottom