Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu it was a coincidence na we only talk some few things...but later nilivoviwaza vizur looks productive. ..wengi humu naona wanawaza issue za mapenz flan....
atakuwa forward wa mwendokasi huyuHizi ndo tunaita "forward butu" ngoma upo na kipa unapaisha
Unataka kusomanaye vitabu au kuna mengne? Kwanini hukuchukua namba yake, pengne hayupo humu JF na hutomwona tena.Kwako dada uliyekuwa unanunua vitabu mlimani city pale Nakumat, kama upo JF please ni-pm. Ulikuwa mbele yangu na we had a little chat about reading books. Please pm me kama upo humu JF.
Acha kujijitea huo ni udomo zenge kiwango cha lami!!Mkuu it was a coincidence na we only talk some few things...but later nilivoviwaza vizur looks productive. ..wengi humu naona wanawaza issue za mapenz flan....
Ipo Rukwa!Kwani hiyo Nakumat ipo Dar...[emoji12] [emoji23]
Ipo Rukwa!Kwani hiyo Nakumat ipo Dar...[emoji12] [emoji23]
Kashindwa kupasia nyavu,kapaishaYeye na goli sio na kipa.
Hahaha,halafu hy pub iko mitaa ya victoria kwa kairukinaona ulizuga hapo unataka kuchaji aifo n seven yako kumbe unataka kuomba namba tu