Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

Mkuu it was a coincidence na we only talk some few things...but later nilivoviwaza vizur looks productive. ..wengi humu naona wanawaza issue za mapenz flan....

Ungechukua namba just incase.
 
Hichi kizazi ambacho hakijapita JKT kitaendelea kutusumbua sana kwa sababu hakijiamini kbs, the golden chance never come twice, ungemaliza kila kitu hapo hapo.
 
Kwako dada uliyekuwa unanunua vitabu mlimani city pale Nakumat, kama upo JF please ni-pm. Ulikuwa mbele yangu na we had a little chat about reading books. Please pm me kama upo humu JF.
Unataka kusomanaye vitabu au kuna mengne? Kwanini hukuchukua namba yake, pengne hayupo humu JF na hutomwona tena.
 
fd147f1906daeb1bf30e286818728c2b.jpg
 
Kwani hiyo Nakumat ipo Dar...[emoji12] [emoji23]
 
Mkuu it was a coincidence na we only talk some few things...but later nilivoviwaza vizur looks productive. ..wengi humu naona wanawaza issue za mapenz flan....
Acha kujijitea huo ni udomo zenge kiwango cha lami!!
 
Mtàongeaje issue ya maana alaf namba msipeane bro, we sema umefika home umewaza ndio yakaja maamuzi magumu
 
Pole sana [emoji24][emoji24],next time tembea na business card basi ili kama unaogopa kuomba namba basi una dondosha card tu. It's not that hard.
 
siku hizi huombi namba unasema unatumia jina gani kwenye hii mitandao ya kijamii hasa Instagram... hapo mtakuwa mna DM kidogo later on atakupa namba ya simu.. wewee vipi
 
Siku nyengine kuwa Mzalendo na kufanya shopping ccm sukita badala nakumatt KE. í ½í¸… hahaha .
 
Back
Top Bottom