Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

Ulidhani mngekaa nakumatt masaa 10? Siku zingine soma alama za nyakati.. Rule number 1. Usiachane na demu hujaomba namba ya simu
Kuomba omba number za wadada ni uboya...by the way dada mwenyewe pia ni mke wa mtu...
 
Ndo huyu?

20160522_215613.jpg
 
Domo zege tu

Alifikiri huyo mke wa mtu amwitavyo atamsubiri nje akakuta hayupo. Ila labda atamtamtafuta humu akisoma ujumbe huu wawe marafiki wema wa kuongelea vitabu vyao wasomavyo.
 
Dah, pole kama yuko humu basi, natumai atakutafuta
 
Kwako dada uliyekuwa unanunua vitabu mlimani city pale Nakumat, kama upo JF please ni-pm. Ulikuwa mbele yangu na we had a little chat about reading books. Please pm me kama upo humu JF.
Halafu unajiita kamanda? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
watu kama wewe ndo mnasababisha wanaume wa Dar tunadhalilishwa na washamba wa mikoani
 
Back
Top Bottom