Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Wahuni mmekaza mpaka ni shida ..!

Ooookay, nakubali nilifeli au nilizingua kutomface moja kwa moja mhusika japo I was about to ..![emoji3][emoji3]
Umeamua kutupa taulo mkuu??[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]
 
Tell em bruhh👏🏽
 
hata kama ana miaka arobaini she still has the righ to ask how you got her number kwa sababu namba yake au mawasiliano yake ni privancy yake she has the right to decide nani awe na namba yake na nani asiwe nayo

Umri usiwe sababu ya kumkosesha mtu uhuru au usiri na mawasiliano yake

Kama kweli unahisi unamuhitaji huyo binti, take a step foward, no matter how hard it is,usitumie shortcut za marafiki au watu wa pembeni, ukimtafuta in person ina nguvu na ushawishi, kama ni namba muombe yeye na sio madalali
 
Umeamua kutupa taulo mkuu??[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]

Mkuu wasimbe wanashambulia kila kona ya uwanja .! [emoji28][emoji28]
 
Ahsante kwa kunifumbua, Okay nakubali nilifeli kuchelewa kuchukua namba kutoka kwa mhusika. Ila suala la kumtajia aliyenipa namba siwezi fanya Bro, I can’t break the promise na pia naogopa kusababisha Chaos
[emoji106]iyo tabia uache.
Mwanaume halisi namba unaichukua mwenyewe.

Tena,
Ukiwa Mwanaume SHUPAVU,
namba Utaombwa upewe baada ya KULA[emoji4]

Narudia Tena,
NAMBA "Utaombwa wewe" upewe baada ya KULA.
 
[emoji106]iyo tabia uache.
Mwanaume halisi namba unaichukua mwenyewe.

Tena,
Ukiwa Mwanaume SHUPAVU,
namba Utaombwa upewe baada ya KULA[emoji4]

Narudia Tena,
NAMBA "Utaombwa wewe" upewe baada ya KULA.
Baada ya KULA nini mkuu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji106]iyo tabia uache.
Mwanaume halisi namba unaichukua mwenyewe.

Tena,
Ukiwa Mwanaume SHUPAVU,
namba Utaombwa upewe baada ya KULA[emoji4]

Narudia Tena,
NAMBA "Utaombwa wewe" upewe baada ya KULA.
Japo real ladies will wait for the Man to make the move...
Utajuaje Bwana kweli anakuhitajii hehe..
mtt wa kike ni kutuliaa
 

Umeeleweka Madamme ..!

At 28, mennn, She should be focused at reason why I collected her number and not who gave you my number ..! Kwa sababu akisema sitaki mazoea naishia hapo huwa silazimishi namuacha kwa amani tu. Unakomaa kujua aliyenipa namba, ukishamjua baadae iweje ?? Ukamchambe au niaje niaje hapo ?
 
Wahuni mmekaza mpaka ni shida ..!

Ooookay, nakubali nilifeli au nilizingua kutomface moja kwa moja mhusika japo I was about to ..![emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2] punguza kukamia mno,
Mchezo wa mahusiano haihitaji pupa, Mambo huwa yanajiseti yenyewe.
 
Tatizo ur assuming she is 'thirsty'

what if she is not?.

usione watu wako single ukadhani ni single kweli wana watu wao
Na usione watu wana mahusiano ukadhani ndo hivyo....
 
Kwani ulishindwa nini kumuomba namba wewe mpaka uombe kwa rafiki yake? Hata ningekua mimi cha kwanza ntakuuliza umepataje namba yangu halafu baada yapo ndio nikuulize una shida gani

Halafu hakuna kitu kinawaudhi mabinti kama kuchukua namba yake kupitia marafiki bila ridhaa yake, mwingine hata kama ana nia ya kukubali ombi lako anasita, anaona kama wewe sio mwanaume jasiri

Mwisho, usimhukumu kwa sababu ya umri, 28+ has nothing to do with her relationship status, pengine she has goals to achieve kabla hajajiingiza kwenye commitment za mahusiano, au pengine marriage is not her priority for now na pengine ana sababu zake binafsi au ana mahusiano yake ya siri, you guys are too judgemental
 
Nilichogundua mtoa mada anatatizo la Ubahili au Hajui kucheza na saikolojia ya wanawake.

Alitakiwa
kuiseti attention ya uyo mwanamke, mpaka ahisi kua uyu mtu ana dalili za kua na hisia za kimapenz na Mimi.
Kias kwamba ata hujaomba namba wee mwenyewe unajua hApa nitakubaliwa au NitATUPIWA tu VIRAGO VYANGU.

Sio ile,
ABRUPTLY,
UnaMPIGIA mdada uNAMSHTUKIZA.

Mpk Mdada wa watu anafikiri
"NI NINI HIKI, NIMEVAMIWA AU?[emoji848]"

Aisee,
Nikwambie kitu mtoa mada,
Ukishajijua unamhitaji mwanamke,
Basi mtengee bajeti na usiogope kuspend kwa ajili yake.

As long as unampenda na unahitaji kua nae.

ULICHOTAKIWA KUFANYA,
ZILE encounter alzokua unakutana nae ulitakiwa kurise attention yake, ajihisi kua yeye ni someone special kwako.

Sio ile unakaa na mdada wa watu, unampigisha tu stori wee mpk mate yanamkauka mdomoni, afu ata kinywaji tu humnunulii.

Afu ule MDA anakuaga anaondoka,
Na wewe unaitikia TU dry kiboya boya
"KWEHERI, SEE YOU TOMORROW"

Pumbav kabisa
"See you tommorow" ya wapi hata nauli ya BAJAJI hujamuachia[emoji21]

Mtoto wa watu,
Unamuacha mikono mitupu mpk anajutia muda alioupoteza na wewe Bora ata angetembeza matembele mitaani angeshaingiza elfu 2 ya Vocha.

Aisee,
WANAUME TUJIFUNZE KUA ROMANTIC,

Mambo ya Mahusiano hayana vyama,
Aya Mambo yenu ya kuendekeza UCHADEMA UCHADEMA Kwenye mahusiano,
Yaani kila kitu ni Nguvu nguvu TU full kupinga pinga yatakuja kuwaletea shida Kama hizi, [emoji23](joke)

Unakuta vijana
Mnakaa mnajisifia huo ujinga ujinga wenu sijui mnajiita Sijui WASOLID, mara sijui UWABATA.

Aisee,
MTAKUJA KUFA NA huo UGUMU WENU, PAMBAF[emoji3525]

Ohoo, shauri zenu[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…