Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.
Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.
Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.
Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .
UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.
Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.
Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.
Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila mara.