Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Ok lakini kwangu mimi sio kawaida au bora ujitambulishe mimi fulani nimepata nambaako kutoka kwa fulani ningependa tujuane or watsoever lakini sio blah blah coz unaulizwa namba umepata wapi...
Acha bana hizo mdada mbona una cha thaman sana kuliko hiyo namba.
We niulize tu unataka nn
 
Huyu jamaa atakuwa domo zege. Mtu unapiga naye stori kila mara! Unakuja kuomba namba kwa rafiki yake? Na lengo la kuomba namba ni kutongoza? Umetuabisha sana sisi mabaharia.

Mzee mie sina utaratibu wa kuomba namba siku ya kwanza tu, nahitaji nikutane na mdada mara kadhaa ili niweze kumfuata. Huyu nilikuwa nikitaka kuomba namba moyo unasita alfu alikuwa na kampani ya rafiki zake. Hivyo ilikuwa ngumu kumuita alfu niombe namba
 
Ni ustaarabu ukjitambulishe na ukisema ulikoipata hio namba!Ikisha ndo unaulizwa unataka nn[emoji16]

Hivi kwa mfano nimekubali sasa nimkuambia namba yako nimeitoa kwa rafiki yako Beata wa Tegeta na dhamiri ya kuchukua namba yako nataka Mbususu..! Hivi utanipa Mbususu kweli ? Acha basi kutuzingua wenzio
 
Kwa maana hio ukitaka namba upewe mbususu?sasa ndo keshakushtukizia na hakutaka kukupa 😅 ila kuna kimbelembele keshaigawa!
 
Kwa maana hio ukitaka namba upewe mbususu?sasa ndo keshakushtukizia na hakutaka kukupa [emoji28] ila kuna kimbelembele keshaigawa!

Wengine ni wakongwe kwenye hiyo sekta mama.! Tumepitia magumu zaidi ya haya na mbususu ikapigwa. Ila kitu ambacho hakibadiliki ni kwamba hata unikamue Kende zangu siwezi mtaja aliyenipa namba, that’s Hood’s Code.
 
Suala sio kumface, jana nilienda tunapokutanaga nikitegemea nitamkuta sikumkuta nikamwambia rafiki yake bhana yule rafiki yako nimempenda. Sasa yeye akasema ni jambo jema, nikamwambia vipi naweza kumpata wapi nikimkosa hapa akasema hafahamu labda anisaidie namba yake kwa sababu tubapigaga stori mara kwa mara hatakuwa na utata. Sasa wewe tumekumushana ukanimumbuka na nimekuambia siku hiyo nilitarajia utakuja hujaja kwenye glosari ninetafuta bamna ya kuwasiliana nawewe unakomaa nikuambie aliyenioa namba yako.

Kwa hiyo ukimwambia ulipoitoa namba utapungukiwa nini?huu ni utoto wakati kama umemfata mwenye 28+ wewe utakuwa kwenye 30 huko,mtu mzima wewe

Acha kuplay hide and seek,kama ulishindwa kumuomba namba yeye moja kwa moja atleast mwambie ulipoipata...umri wake usikufikirishe sana
 
Wengine ni wakongwe kwenye hiyo sekta mama.! Tumepitia magumu zaidi ya haya na mbususu ikapigwa. Ila kitu ambacho hakibadiliki ni kwamba hata unikamue Kende zangu siwezi mtaja aliyenipa namba, that’s Hood’s Code.
Ubishi wako utakuponza!Toa ushirikiano kama kweli unamtaka huyo dada na hata yeye atakuchukulia serious.Kila la kheri.
 
Unajua hilo swali ni gumu sana kwa sisi madomo zege ukute aliyetoa namba hataki ajulikane
Ndio maana nikasema aloitoa hio namba anakosa kwasababu huyo dada amemuamini na amevunja uaminifu kugawa namba ya watu bila idhini ya muhusika.Kistaarabu huyo aloombwa namba alitakiwa amuulize muhusika kama ni sawa fulani nikimpa namba yako!
 
Kiuhalisia siyo ustarabu.
lakini ata sisi madomo mazito msitutenge msitulize maswali magumu hvo
 
Ilikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali?
Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba

Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
Shule zimefungwa Mkuu tutegemee siredi nyingi kama hizi
 
Kwa hiyo ukimwambia ulipoitoa namba utapungukiwa nini?huu ni utoto wakati kama umemfata mwenye 28+ wewe utakuwa kwenye 30 huko,mtu mzima wewe

Acha kuplay hide and seek,kama ulishindwa kumuomba namba yeye moja kwa moja atleast mwambie ulipoipata...umri wake usikufikirishe sana

Ukishajua nilipoitoa itakusaidia nini Mkuu..! Tuweni watu ambao tunaishi uhalisia. Unataka nikuambie aliye nipa namba yako ukamsakame, niwachonganishe tena. Hapana siwezi, bora uninyime Mbususu kla nimlinde aliyenipa namba yako
 
Ndio maana nikasema aloitoa hio namba anakosa kwasababu huyo dada amemuamini na amevunja uaminifu kugawa namba ya watu bila idhini ya muhusika.Kistaarabu huyo aloombwa namba alitakiwa amuulize muhusika kama ni sawa fulani nikimpa namba yako!

Ni kweli, huenda alimwambia au hakumwambia. Yule dada mimi huwa naongeaga naye sana sema ule muda nataka kuomba namba wanajaaga mashosti zake daah hata naonaga jau sana kumuomba.
 
Back
Top Bottom