Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Hata kama nina miaka 60, nikipigiwa na stranger nitakuuliza umetoa wapi namba. hii ni curiosity kikawaida namba natakiwa nikupe mwnyw. ss vuuup sijakupa unipigie athubutuu wewe
 
Sijapungukiwa Mkuu..! Alfu mbona mnaniandama utazani nimemtukana ama vipi ??
Kingine ni kwamba, Kama nimekupigia ukaniulizia wewe nani nikajitambulisha ukanikumbuka. What’s so important to know the person who gave me yournumber?
Suala ni kwamba kwann usiombe direct ukaanza kuzunguka mbuyu
 
Huyu jamaa atakuwa domo zege. Mtu unapiga naye stori kila mara! Unakuja kuomba namba kwa rafiki yake? Na lengo la kuomba namba ni kutongoza? Umetuabisha sana sisi mabaharia.
Halafu analaumu umri wa huyo dada kwa ujinga wake dunia ya Leo mtu humfahamu unamtafta hujitambulishi huo ni uzembe tu, hata mtu akiwa na 70 year's lazima ahoji
 
Halafu analaumu umri wa huyo dada kwa ujinga wake dunia ya Leo mtu humfahamu unamtafta hujitambulishi huo ni uzembe tu, hata mtu akiwa na 70 year's lazima ahoji

Nimejitambulisha akanikumbuka vizuri ila akakomalia ajue aliyenipa namba. Cariha jamani [emoji1][emoji1]
 
Sasa kama ilikua unapiganae story ulishindwa vipi kumtongoza yaani hapo ilididi ufunguke mwenyewe angekupa namba bila hata kumuomba sijui ulikwama wapi sasa una 1% ya kukubaliwa
 
Nimejitambulisha akanikumbuka vizuri ila akakomalia ajue aliyenipa namba. Cariha jamani [emoji1][emoji1]
Ndio hata Mimi ningekukomalia maana sijui Lengo lako kwanini usiseme aisee nimeipata number yako na shida ya a, b, c, d hapo nakuelewa kuliko ku ficha ficha Mambo
 
hata kama nna miaka 60, nikipigiwa na stranger ntakuuliza umetoa wap namba. hii ni curiosity kikawaida namba natakiwa nikupe mwnyw. ss vuuup sijakupa unipigie athubutuu wewe

Hujanipa ndio ila sasa nimeshakuambia nimepewa na mtu ila kumtaja naogopa utamwandama. Ni suala la kusema haya tuendelee usikie nini hitaji langu.
 
Ndio hata Mimi ningekukomalia maana sijui Lengo lako kwanini usiseme aisee nimeipata number yako na shida ya a, b, c, d hapo nakuelewa kuliko ku ficha ficha Mambo

Daaah bado unataka niseme nani kanipa…! Naogopa kuwagombanisha na rafiki yako. Cariha Usinishambulie hivyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Daaah bado unataka niseme nani kanipa…! Naogopa kuwagombanisha na rafiki yako. Cariha Usinishambulie hivyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi lazima unieleze bila hvo staki mazoea, dunia ya sasahivi kugawa number mtihani kidogo loh
 
Nilipewaga namba na rafiki yangu nikampiga mzigo.

Mimi nimekula mbususu nyingi tu za style hii na za kuomba namba mwenyewe.! Hii ya kuniandama hainifanyi niache harakati
 
Dah, udomo zege shida sana yani unaongea na demu masaa 6 unashindwa kumuomba namba halafu eti unaenda kumuomba rafiki yake?. Watu kama nyinyi ndio Mnabaka mbuzi genye zikiwazidi.
 
Bila shaka utakuwa hujui kutongoza (Domo Zege) hata kama mtu ana miaka 28+ isiwe sababu ya kuwa na namba yake bila hiari yake mwenyewe.

Hahaha sawa Mkuu, ila mimi sio domo zege jombaa.
 
Sio kawaida mtu usiyemfahamu awe na namba yako lazima uulize ameipata wapi? Hata kama ana miaka 40+,na yupo single.Tabia ya kugawa namba za watu bila ruhusa ya muhusika ni mbaya.Je kama wewe ni stalker je?Huyo alokupa namba amefanya makosa!

Kitu kingine yaani wewe umekosa ujasiri hata wa kuomba namba mpaka upewe na mtu mwengine!Tatizo ni nini?
Namshangaaa afu anakuja kujitapa kwenye jukwaa kwani ukiwa na miaka 28 ndo uwe kama jalala,na suala la miaka linakuhusu nini maana hapa mjini kila mtu anamipango yake.
 
Back
Top Bottom