Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Sasa kama no umeshindwa kuomba kwa muhusika, utaweza vipi kumvua nguo zake abaki uchi? Daaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama no umeshindwa kuomba kwa muhusika, utaweza vipi kumvua nguo zake abaki uchi? Daaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haha…! Hebu nipe namba yako nikuambie jambo kidogo Mkuu. Huenda nikafanikiwa kukuvua Chupi mtoto mzuri. Bahati nzuri mie mtu wa kujiongeza, hutajutia na hutakuwa na wasiwasi na mimi kama ni mwanaume. Show safi tu yaani
 
Hahaha sawa Mkuu, ila mimi sio domo zege jombaa.
Usawa huu mwanamke unamtongoza anakuangalia uson wala hapepes
Macho,Ila ww mwanaume unaona
Aibu kumuomba Tu number?? Seriously
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Haha…! Hebu nipe namba yako nikuambie jambo kidogo Mkuu. Huenda nikafanikiwa kukuvua Chupi mtoto mzuri. Bahati nzuri mie mtu wa kujiongeza, hutajutia na hutakuwa na wasiwasi na mimi kama ni mwanaume. Show safi tu yaani
Malizana nae huyo anaekusumbua no yake umetoa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana anakomaa kakupabnani namba wakati toka mkae pa1 hujawahi kuomba? Anakunywa bia huyo demu nikupe dawa?

Anakujuwa Bia ndio, tena anapenda sana Windhoek. Hebu tulieni kwanza sasa hivi mtoto ameshatulia haukizi ulizi tena nimetoa wapi namba. Nawapeni siku chache nitawapa mrejesho
 
Mwez mchanga huyu sio bure[emoji1][emoji1][emoji1]

Haha …! Mwezi mchanga. Watu Jeiefu bhana. Ila ngoja niwaache ila muwe mnajiongeza.! Usser eeh..! Njoo PM mara moja
 
Back
Top Bottom