Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Hahaha nasimama kinyume sana na huu utumwa wa kujinasibisha na uzungu na uarabu. Unakuta mtoto mdogo mweusi mzuri na kipilipili kichwani anaitwa Connor au Charlotte huwa nacheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Wetu tutamuita majina yetu ya Ileje sio πŸ˜‰
Haha,
that's obviously Sunflower, tunamtafutia lile la ndani ndani kabisa halafu liwe la kipekee, katoto kenye akili mingi na macho ya mvuto.!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naam, Othmani ugomvi naumudu ila siupendi kabisa.
 
Mkuu una bahati sana akina Ramadhani hawamo humu, ninahakika muda huu ungekuwepo hospitalini kama si kituo cha polisi.
 
Mkuu una bahati sana akina Ramadhani hawamo humu, ninahakika muda huu ungekuwepo hospitalini kama si kituo cha polisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha mkwara jamaa
 
Hawa wote wamekut******mb**** mpk umejua tabia zao kwa kila mmoja
 
Hayo ndio madhara ya upepo wa kisulisuli hasa ukiambatana na mvua za hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…