Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hatari sana love. 😀😀 Pole kwa kuchokamo.Unajua nini love, huyu kafanya kama wale wasanii wanaochora watu kwa mkono....utajiskiaje unapita mahali halafu ghafla unakutana na ama picha yako au ya mtu unaemjua imechorwa vizuuri kwa mkono? Hapo lazima uchoke mpenzi
Mleta uzi afanye fanye alete haya ya kwetu kina Mwajuma ndala ndefu tujione. 😎