Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Unajua nini love, huyu kafanya kama wale wasanii wanaochora watu kwa mkono....utajiskiaje unapita mahali halafu ghafla unakutana na ama picha yako au ya mtu unaemjua imechorwa vizuuri kwa mkono? Hapo lazima uchoke mpenzi
Hatari sana love. 😀😀 Pole kwa kuchokamo.

Mleta uzi afanye fanye alete haya ya kwetu kina Mwajuma ndala ndefu tujione. 😎
 
Jina ni IDENTITY ya mtu

sasa inapotokea Watu 10 wapo mbele yako then wote

wanaitwa SweetieLee kunakua hamna maana tena ya jina ulilompa Mtoto

Mtu aitwe jina hata kuwe na watu 200 ukiita MAGUFULIIIIII atatoka mmoja tu

jiloge muite JONIIIIIIII uone hao raia watavyokukimbilia yani utakua na kazi ya kusema

sio wewe sio wewe sio wewe sio wewe NAMTAKA John Pombe Magufuli (utawaona kina joni wote wanarudi)

That means identity ya JOHN sio jina lake tunamtambua kwa identity ya jina la BABU

sasa ndio makorokocho gani hayo,Mpe mtoto jina Gumu then akishakua mkubwa Lazima alitie Swagg

kama wewe Ulivyotia lako "sweetie" Leee ila ukute jina lako halisi unaitwa "Leenyoroooooo"

sasa ili usitutishe ukaamua ulitie swagg saivi kitu kinasoma SweetieLee
Hahaha..!!
Sema mimi na wewe hatuchekani sana kwa kutumia majina ya uzunguni mkuu maana wewe mwenyewe ni 'controller' tayari,

btw, Kiuhalisia mimi nina jina la kiswahili kabisa sema lenye asili ya kiarabu..! Mara 1 1 kujipaisha na zile majina za wazungu ain't bad idea at all.!!

Sema mwanangu lazima aje kuwa na jina unique sana na lenye maana nzuri pia..! Nitatafuta mtoto siku nikipata jina! 😀
 
ukishakua tu mjamzito ntafute nikupe kitu amaizing

imagine jina liko multpurpose akija wakike twende,wakiume twende

Usitake kulijua saivi,ngoja ukishashba makande untafute.
 
Duuh!! Hivyo Mkuu umeishughulisha akili yako mpaka hapa ndio ukafikia mwisho. Aiseee.

Ni sahihi kabisa Mkuu hujakosea.
Mbona wewe pia akili yako imekomea hapo pa1 na kuishughulisha kote huko, au hujui neno "mahusiano" lina tafsiri pana sana? [emoji23]
 
ukishakua tu mjamzito ntafute nikupe kitu amaizing

imagine jina liko multpurpose akija wakike twende,wakiume twende

Usitake kulijua saivi,ngoja ukishashba makande untafute.
😂 😂
Shukrani sana mkuu kwa kujali, wewe ni wa kipekee sana.! Na MUNGU anisaidie kukumbuka..!!
 
Hahaha..!!
Sema mimi na wewe hatuchekani sana kwa kutumia majina ya uzunguni mkuu maana wewe mwenyewe ni 'controller' tayari,

btw, Kiuhalisia mimi nina jina la kiswahili kabisa sema lenye asili ya kiarabu..! Mara 1 1 kujipaisha na zile majina za wazungu ain't bad idea at all.!!

Sema mwanangu lazima aje kuwa na jina unique sana na lenye maana nzuri pia..! Nitatafuta mtoto siku nikipata jina! 😀
So inatafuta jina kwanza then mtoto?? its a little bit awkward 😳😳😳
 
Wazee wa unique names na majina ya kiasili, naomba nikukutanishe na gwiji mmoja wa kuitwa Bufa, Mtanzania khalisi anayesimama kinyume na majina ya kizungu..!! 😂 😂

Hahaha nasimama kinyume sana na huu utumwa wa kujinasibisha na uzungu na uarabu. Unakuta mtoto mdogo mweusi mzuri na kipilipili kichwani anaitwa Connor au Charlotte huwa nacheka sana 😂😂

Wetu tutamuita majina yetu ya Ileje sio 😉
 
Back
Top Bottom