Dada wa kazi anahitajika Dar.

Dada wa kazi anahitajika Dar.

aisee... stranger tu unamuweka ndani umuachie nyumba pia akupikie ?

Mtaani huko umekosa ? Hata kijjn kwenu.... ukiuliza uliza kwa ndugu zako maeneo tofauti pia unaweza kupata....
Inashangaza sana kwa dunia ya leo kuokota tu mtu baki jijini na kumkabidhi nyumba.
 
Kutakuwa na taratibu za kufahamiana, ila kumbuka pia wanaotuumiza ni wale tunaowafahamu na kuwaamini. Ubaya wa mtu ni tabia yake tu
Unayemfahamu at least una pa kuanzia mambo yakiharibika.

Isitoshe hata yeye anajua atapatikana akiharibu.

Strangers?? Tena Dar!
 
Back
Top Bottom