Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Ili wanaume muda mwingine tuna matatizo. Mfanyakazi kaletwa kuja kutimiza ayo majukumu ambayo uliona mke wako kipenzi yanamchosha na kumuwia ugumu.

Mkuu swala la kuandaliwa maji ya kuoga ni mambo ya kawaida ata kupakuliwa chakula ni maswala ya kawaida. Ata leo useme umuoe huyo utarudi humu kulalamika mke wangu mpya kabadirika na beki 3 anatimiza majukumu yake.

Ufunge na wewe Ata shower [emoji371] kupelekea maji bafuni sio kipimo cha upendo
🥰🥰🥰
 
Unatetea ujinga mkuu
 
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili . Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba no mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke . Lakini kuna jambo moja linanishangaza.hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu amefika nimeona mabadiliko ya ghafla sana.

1. Haambiwi kitu huwa anafanya kabla hujamuuliza mf.nimezoea kumwambia mkewangu nitayarishie maji ya kuoga. Yeye kabla hujasema unakuta tayari ameshaandaa.

2. Hasubiri nimwambie nataka chai au chakula nikitoka tuu kama ni asubuhi tayari ameshaniandalia chai mezani hivyo hivyo nikirudi nyumbani ananiwekea chakula mezani. Mkewangu mpaka nimwambie. Nimeona tofauti kubwa sana ya mkewangu na huyu dada wa kazi.

Ni hayo tuu.

Wake zetu wanajisahau sana. Wakiwekwa ndani kuna vitu muhimu ila ni vidogo vidogo kama ulivyotaja hapo juu wanavipuuzia, matokeo yake wanaanza kufukuza masichana wa kazi kwamba wanawaharibia ndoa, kumbe wao ndo wamejisahau.

Hata chumbani unakuta wakati mwingine wanataka kutumia tendo la ndoa kama fimbo kwa waume zao kwa kuwabania, hapo ndo mume anaamua kumchukua msichana wa kazi na kumpangishia nyumba kabisa
 
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili . Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba no mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke . Lakini kuna jambo moja linanishangaza.hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu amefika nimeona mabadiliko ya ghafla sana.

1. Haambiwi kitu huwa anafanya kabla hujamuuliza mf.nimezoea kumwambia mkewangu nitayarishie maji ya kuoga. Yeye kabla hujasema unakuta tayari ameshaandaa.

2. Hasubiri nimwambie nataka chai au chakula nikitoka tuu kama ni asubuhi tayari ameshaniandalia chai mezani hivyo hivyo nikirudi nyumbani ananiwekea chakula mezani. Mkewangu mpaka nimwambie. Nimeona tofauti kubwa sana ya mkewangu na huyu dada wa kazi.

Ni hayo tuu.
Huyo shetani anayekudanganya dominika hii sio mgeni kwa wanaume wengi wenye familia na wenye wafanyakazi wa ndani wadada.... huwa anaanza kidogo kidogo hivyo hivyo halafu atakuambia kwa sauti ya upole "kwanini usijaribu na vingine?" mkatae mapema huyo ibilisi ....
 
Tatizo na yeye akija kuolewa atakuwa kama mkeo! Kila kitu mpaka aambiwe! Hapo kanatafuta usajili tu[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom