Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wanaume daah... mkeo kakuvumilia kwa mengi, kakuzalia watoto na kakufanyia mengiii zaidi ila leo unamuona hana maana kisa dada wa kazi aliyekutengea chakula kwa hizo siku ngapi sjui.Dada anajua majukumu yake kumzidi wife [emoji1787][emoji1787]
Watu bwana.unasema nitafute pesa unayajua maisha yangu? Kama huna wazo pita kimya tuu siyo lazima kusema.
Unatumia kinywaji gani mkuu, nikununulie jioni
Unatetea ujinga mkuu
Hata Mimi nimejiuliza hili swali!!! Huu ni ushauri wangu kwake!, Mpende mke wako, mthamini mke wako na umheshimu pia!unataka kujustify nini we mzee?
Mpe umakamuHabari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili . Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba no mvivu la hasha. Anafanya mambo
Bila shaka!! Namshauri aachane kabisa na hiyo habari! Alishafanya maamuzi na ayaishi!Ushamtamani tu acha visingizio
Haya nikishaweka hiyo shower niwekee nini tena ili mkewangu awe ananiwekea chai na chakula mezani before sijamwambia.?Tafuta pesa wewe acha ubishi, huwa hakuna mwisho wa kutafuta pesa...
Tafuta pesa uweke solar/electric heater maji ya kuoga yatoke kwenye shower rose na sio kuanza sumbua watu wachemshe maji na kuwekewa maji ya kuoga kwenye ndoo za sadolin...
Sasa hapa unataka ushauriwe nini? Kwamba tumsifie house maid wako ni mchapa kazi na tumponde mke wako?
Tatizo anajisahauYaan wanaume daah... mkeo kakuvumilia kwa mengi, kakuzalia watoto na kakufanyia mengiii zaidi ila leo unamuona hana maana kisa dada wa kazi aliyekutengea chakula kwa hizo siku ngapi sjui.
Wakati huyo dada hajaja hapo nani alikua anafanya yote hayo?
Sema tu umemchoka mkeo unataka kuchepuka
Si umkumbushe naye ni binadamu.Tatizo anajisahau
Mmh sawaSi umkumbushe naye ni binadamu.
Wewe bana kama unataka kuchepuka chepuka kwa tamaa zako, usimsingizie mkeo
Funga heater bafuni,acha mambo ya kumwambia beki 3 nitayarishie maji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usisahau mrejesho..jinsi ulivyo mla kimasihara.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikamuambia asiwe anaamka mapema sasa akawa anaamka saa moja.Akawa miyeyusho kivipi mkuu?