Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Dada anajua majukumu yake kumzidi wife [emoji1787][emoji1787]
Yaan wanaume daah... mkeo kakuvumilia kwa mengi, kakuzalia watoto na kakufanyia mengiii zaidi ila leo unamuona hana maana kisa dada wa kazi aliyekutengea chakula kwa hizo siku ngapi sjui.
Wakati huyo dada hajaja hapo nani alikua anafanya yote hayo?
Sema tu umemchoka mkeo unataka kuchepuka
 
Watu bwana.unasema nitafute pesa unayajua maisha yangu? Kama huna wazo pita kimya tuu siyo lazima kusema.

Tafuta pesa wewe acha ubishi, huwa hakuna mwisho wa kutafuta pesa...

Tafuta pesa uweke solar/electric heater maji ya kuoga yatoke kwenye shower rose na sio kuanza sumbua watu wachemshe maji na kuwekewa maji ya kuoga kwenye ndoo za sadolin...

Sasa hapa unataka ushauriwe nini? Kwamba tumsifie house maid wako ni mchapa kazi na tumponde mke wako?
 
Haya nikishaweka hiyo shower niwekee nini tena ili mkewangu awe ananiwekea chai na chakula mezani before sijamwambia.?
 
Yaan wanaume daah... mkeo kakuvumilia kwa mengi, kakuzalia watoto na kakufanyia mengiii zaidi ila leo unamuona hana maana kisa dada wa kazi aliyekutengea chakula kwa hizo siku ngapi sjui.
Wakati huyo dada hajaja hapo nani alikua anafanya yote hayo?
Sema tu umemchoka mkeo unataka kuchepuka
Tatizo anajisahau
 
Binadamu wanna mapungufu..na wewe una yako usijifanye mkamilifu Kuna mazuri ya mkeo mengi tu..ili moja lisikufanye umuone mpuuzi
 
Akawa miyeyusho kivipi mkuu?
Nikamuambia asiwe anaamka mapema sasa akawa anaamka saa moja.

Kisha nikaja kugundua binti ni kicheche hatari she is 19 na ana 1 year kid nikamuweka chini nikamuambia kuhusu hiyo tabia na risk ya mwanae kukosa mama.

Akanijibu 'Sasa tatizo mi mzuri' nikacheka nikamuambia 'Kwa level ya hapa of course wewe siyo mbaya lakini nilipotokea wewe ni wa kawaida, ila pia wanaume wote hawakufuati kwakua we mzuri wanakufuat kwakua ni easy target'

Hakunielewa. Yaani naweza kua namtafuta kwenye simu for an hour na simu iko bize utamuambia ila wapi.

Nikaona isiwe kesi. Nikaweka kando.
 
Mkuu nafikiri sasa unaweza mpandisha mshahara kidogo..

Maana naona anatimiza majukumu yake ipasavyo..
 
Back
Top Bottom