Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Vitu kama maji saa nyingine jiwekee mweyewe tu usiwe mfalme wanawake wanachoka sana kazi za nyumbani nyingi mno
Hawajui tu mbaya zaid ukute anamtot mdogo uck hajalal kakesha kum'bembeleza halafu asubuh akufanyie yote hayo. Duh wanaume kuweni na huruma kwani kujiandalia maji asbh na kujiandalia chai asbh tena siku hzi maisha rahc jagi la umem lipo viungo vya chai vipo nikujiandalia tu chukua mkate kunywa hubadilik chochote jaman
 
Yaan wanaume daah... mkeo kakuvumilia kwa mengi, kakuzalia watoto na kakufanyia mengiii zaidi ila leo unamuona hana maana kisa dada wa kazi aliyekutengea chakula kwa hizo siku ngapi sjui.
Wakati huyo dada hajaja hapo nani alikua anafanya yote hayo?
Sema tu umemchoka mkeo unataka kuchepuka
Mwache jamaa ale posho ya ndoa bana😅
 
Kwel usemayo na huenda mkewe ndio huwa anamlalamikia matatz yake Dada wakaz.
Ajiandae tu akisha jua udhaifu mkubwa wa yeye bac atakuwa anamilik wake 2
Eeh hio ni posho ya kuwa baba mwenye nyumba😅
 
Msifie mkeo na mpe zawadi,

Mwambie mke wangu asante sana. Siku hizi unanijali kabla hata sijaomba maji ya kuoga unahakikisha yamewekwa bafuni, kabla sijaomba chai unahakikisha nimeipata Asante sana.

Halafu sikilizia.
 
Back
Top Bottom