Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Hawajui tu mbaya zaid ukute anamtot mdogo uck hajalal kakesha kum'bembeleza halafu asubuh akufanyie yote hayo. Duh wanaume kuweni na huruma kwani kujiandalia maji asbh na kujiandalia chai asbh tena siku hzi maisha rahc jagi la umem lipo viungo vya chai vipo nikujiandalia tu chukua mkate kunywa hubadilik chochote jaman
Wanataka ufalme tu
 
Mi nawaambiaga wanaume oeni hao ambao maybe unamuona anafaa kuliko mkeo.once umemuoa huyo akazaa mtt mmoja au wawili atakua kama yule yule ulienuacha mybe hata zaidi. Jamani nyie tupendeni tuu hivyo kama mlivyotumwa huku duniani na sisi tukiwatii inatosha hayo mengine ni ya ziada.
 
Wengine wanamaradh yao halafu haipendez kuwanyanyasa kingono hao mabeki Tatu wakipata mimba mnawatimua achen kuwa wabinafs na msiwatendee wengine ubaya
Sawa mama .tutaacha ni ka udhaifu chetu tu wanaume tumeumbiwa hata sisi hatupendi iwe hivyo
 
Sema nn mkuu, nahis unataka kutengeneza mazngra ya kuhatarsha uhusiano wako na mkeo. Hzo kaz anazofanya n wajibu wake kama msaidz wa ndani sjaona sababu ya ww kumuona au kumchukulia hvyo unavyomchulia.

Kemea hilo pepo linalokunyemelea......​
 
Mi nawaambiaga wanaume oeni hao ambao maybe unamuona anafaa kuliko mkeo.once umemuoa huyo akazaa mtt mmoja au wawili atakua kama yule yule ulienuacha mybe hata zaidi. Jamani nyie tupendeni tuu hivyo kama mlivyotumwa huku duniani na sisi tukiwatii inatosha hayo mengine ni ya ziada.
Tupende wake wavivu😅 hebu acheni hizo bana unakuta watoto washakuwa ila still uvivu unakutawala😅 hivi unajua hata wenzio kupika wanaona adhabu😅
 
Hivi vitu vitafanya Beki tatu kuwa na cheo kwako.
 
Wewe bado maskini tafuta nyumba lenye shower humo ndani kubebewa maji na kuwekewa maji kumepitwa na wakati, pia uache uvivu Yani kujikorogea chai Iko mezani mpaka uletewe acha uvivu aisee
Ila cariha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom