Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

🥰🥰🥰
 
Unatetea ujinga mkuu
 

Wake zetu wanajisahau sana. Wakiwekwa ndani kuna vitu muhimu ila ni vidogo vidogo kama ulivyotaja hapo juu wanavipuuzia, matokeo yake wanaanza kufukuza masichana wa kazi kwamba wanawaharibia ndoa, kumbe wao ndo wamejisahau.

Hata chumbani unakuta wakati mwingine wanataka kutumia tendo la ndoa kama fimbo kwa waume zao kwa kuwabania, hapo ndo mume anaamua kumchukua msichana wa kazi na kumpangishia nyumba kabisa
 
Huyo shetani anayekudanganya dominika hii sio mgeni kwa wanaume wengi wenye familia na wenye wafanyakazi wa ndani wadada.... huwa anaanza kidogo kidogo hivyo hivyo halafu atakuambia kwa sauti ya upole "kwanini usijaribu na vingine?" mkatae mapema huyo ibilisi ....
 
Tatizo na yeye akija kuolewa atakuwa kama mkeo! Kila kitu mpaka aambiwe! Hapo kanatafuta usajili tu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…