Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Funga heater bafuni, acha mambo ya kumwambia beki 3 nitayarishie maji.
Kwa umeme upi?? Juzi home kwangu pale kwenye lile box la Luku/meter ulikuwa unakata na kurudi kila baada ya dakika moja, nilihesabu hiyo Waka kata nikapata mara 55 (of course nilizima main switch...
 
Kawaida kwa Fisi akitaka kumla mtoto wake mwenyewe, huanza kumfanaisha na mtoto wa kondoo!
 
Mkule tu mkuu, maana ushamsifia sana.
Naanisha ebu mkaz€
 
Wanaume bhana yan huwa tunatekwa na mambo madogo madogo tu. Najua Hapo umeanza kuvutiwa nae
 
Sasa nimjue jina la nini wakati mke yupo..?? Kubwa huwa natoa muongozo aongezewe mshahara kila baada ya miezi sita.
Na hakuna sehem mimi na msaidizi tunaweza tuka mingle
Naomba kazi ndugu

Wengine wanafanya kazi zaidi ya miaka 3 mshahara ni 50 na hawaongezewi

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu wafanyakaz wa ofisni kwako wote unawajua majina ila anayewalea watoto wako na kuhakikisha ulinzi wako unakwepa kujua jina lake, subiri mwanao apate utapiamlo utajua jina lake hadi ukoo wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]changamoto sana

Wadada wa kazi waheshimiwe sana

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili house girl kusomwa kitabu. Ikiwa ww ni mwanaume halisi never ever kula hg. Ameajiriwa kwa kazi hiyo mpe ujira wake kwa kuyafahamu majukumu yake sio kumfanyia comparison na mkeo.
Ni ka ajabu haka kaleta mada
 
Ulimwajiri kwa shughuli gani kama sio hiyo? Hapo unaona hata thamani ya pesa unayomlipa.
 
Bila shaka wewe ni mwanamke na unatabia za huyo mke.
Na hapa unajaribu kujitetea.
Kuwa makini huenda ukapandishwa cheo ukawa Bibi mkubwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…