Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Sasa nimjue jina la nini wakati mke yupo..?? Kubwa huwa natoa muongozo aongezewe mshahara kila baada ya miezi sita.
Na hakuna sehem mimi na msaidizi tunaweza tuka mingle
Ina maana hata hamli chakula Pa1 nae? Duuuh
 
Tafuta pesa wewe acha ubishi, huwa hakuna mwisho wa kutafuta pesa...

Tafuta pesa uweke solar/electric heater maji ya kuoga yatoke kwenye shower rose na sio kuanza sumbua watu wachemshe maji na kuwekewa maji ya kuoga kwenye ndoo za sadolin...

Sasa hapa unataka ushauriwe nini? Kwamba tumsifie house maid wako ni mchapa kazi na tumponde mke wako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anatusumbua tu hapa....kelele zote hizo kuoga kwenyewe kwa kujirushia maji kama yupo kwa sangoma anatoa nuksi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za weekend!

Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu
Kwa hiyo umefurahi saana hadi umekuja kutuambia hapa.

Kumbuka hakuna hausigeli mgumba. Usiseme haujaambiwa
 
Habari za weekend!

Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo
Dada wa kazi anakuandakia maji ya kuoga kwa mazingira yepi, we huwezii kujiandalia?
 
Habari za weekend!

Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu
Kwahiyo unataka kusema nini? Endelea na tu na hicho kilichoko kichwani mwako!
 
Nani kasema hatuli pamoja mwali..[emoji44]
Sisi tuna meza moja tu yachakula, na watu wote hula mezani kilasiku mkuu.
Nlishangaa uliposema huna sehemu ya, ku mingle nae, ndo maan nliuliza hata chakula huli Pa1 nae?
Ahsante kwa kunielewesha.
 
Chura ya mama mji vs ya house girl iko vp?? unaelekea huko ,kila ujinga una njia za kuhalalishwa direct or indirect ,
 
Kupelekewa maji bafuni CYO kipimo Cha upendo mkuu na kuandaliwa chakula CYO kipimo mbna wengine wanajichotea maji tu ya kuoga Kila kitu had wengine wanapas I nguo zao wenyewe na hawalalamiki fresh. Mindi set za watu wa kiafrica anategemeaa kuwa mke Ni mashine za kaz
 
Wewe bado maskini tafuta nyumba lenye shower humo ndani kubebewa maji na kuwekewa maji kumepitwa na wakati, pia uache uvivu Yani kujikorogea chai Iko mezani mpaka uletewe acha uvivu aisee
Nimehamia nyumba yangu mpya kigamboni mwakka mpyaa ina kilaa kitu lakinii huyu hawezi nimekubali ndio mkewanguu.
 
Habari za weekend!

Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu amefika nimeona mabadiliko ya ghafla sana.

1. Haambiwi kitu huwa anafanya kabla hujamuuliza mf. nimezoea kumwambia mke wangu nitayarishie maji ya kuoga. Yeye kabla hujasema unakuta tayari ameshaandaa.

2. Hasubiri nimwambie nataka chai au chakula nikitoka tuu kama ni asubuhi tayari ameshaniandalia chai mezani hivyo hivyo nikirudi nyumbani ananiwekea chakula mezani. Mke wangu mpaka nimwambie. Nimeona tofauti kubwa sana ya mkewangu na huyu dada wa kazi.

Ni hayo tuu.
Kwahiyo unasemaje mkuu !!!!naona unataft sababu ya kupndua meza kibabe!! Ww kama unataka kumchakata mchakate tuuu siyo kuanza ku mlinganisha na mkeo!! Mkeo amaekuganyia mangap makubwa mazur tangu mnafahamiana mpk ss mmekuw mke na mume hata Leo umuone kama afit vle kwa huyo beki tatu wa miez mwil ndan kwenu!! Kwanza ni udhaif kumlinganisha mkeo na hs kwa mwanaume anaejielewa,anaejua thaman ya ndoa na mke lkn pia mweye upendo!! Mpk umekuja hapa unataka tukwambie mpandishe cheo mkeo vuta beki tatu!!!! Ww mwenyew mkeo anajua Sana kwamba kunawanaume wenzio wamekuzd kila kitu but kaamua kuwa na ww hivyo ulivyo!! Lkn ww tn doh!!!
 
Usiingie kwenye huo mtego. Mwondoe haraka sana utafute ambaye atatekeleza maelekezo ya bosi wake (mkeo) bila kuzidisha au kupunguza.

Asithubutu kuizidi huduma ya mkeo kwa namna yoyote. Kuhusu kukuhudumia wewe, apigwe marufuku, na afanye hivyo kama akitumwa.

Naamini utauelewa ushauri wangu.
 
Usiingie kwenye huo mtego. Mwondoe haraka sana utafute ambaye atatekeleza maelekezo ya bosi wake (mkeo) bila kuzidisha au kupunguza.

Asithubutu kuizidi huduma ya mkeo kwa namna yoyote. Kuhusu kukuhudumia wewe, apigwe marufuku, na afanye hivyo kama akitumwa.

Naamini utauelewa ushauri wangu.
umenena vyema asipokuelewa basi tena
 
Back
Top Bottom