shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Mbaya Sana!Akishindwa vita ya kumuangusha mke anatafuta viumbe dhaifu wa kumalizia hasira zake, hivyo watoto watapitia msoto mkali
Mbaya Sana!Akishindwa vita ya kumuangusha mke anatafuta viumbe dhaifu wa kumalizia hasira zake, hivyo watoto watapitia msoto mkali
Sawa endeleeniWewe watu saivi wanaogopa Vita sio HIV
Maisha na changamoto.. kama ujinga hivi ila yasikukuteShida IPO kwako zaidi na sio kwa Dada
Ukiwa weakest man you will end up chasing kitty until you buried.
Be responsible father ndoa yako ni muhimu Dada anakuja na kwenda .
Yesu alitufundisha ikiwa jicho lako linakukosesha ling'oe na kulitupa mbali.sasa wewe unamkodolea binti kwa macho yanayokukosesha.Wala si kosa la mke ambaye anakuamini kama mume wakeHabari wanajamvi, bila shaka ni wazima kabisa... Moja kwa moja twende kwenye Mada.
Mke kaamua kuleta dada wa kazi nyumbani ili amsaidie kazi ya kulea mtoto. Jambo ambalo nililipinga kwa kiasi kwani binafsi nimekua sehemu sana ya kusaidia kazi hizo na sikuona huo umuhimu wa dada. Siku zikasonga dada akakaribishwa nyumbani na kukabidhiwa majukumu yake.
Dada uyu anafanya kazi zake vizuri bila shaka wala wasiwasi. Mimi kazi zangu ni mtu wa kusafiri sana, ivyo naweza kaa uko siku nyingi au pia kukaa nyumbani siku kiasi.
Sasa dada uyu ameshakua mzoefu hapa nyumbani... Ananipa huduma za kama mfanyakazi wetu vizuri kabisa. Zaidi ameanza kuonyesha kuwa anataka ule zaidi ya ukaribu.
Ikabidi nimweke wazi wife ambaye mara nyingi hayupo nyumbani... Yaani huwa tunabaki mi na dada tu ukitoa masaa mawili ya juma pili. Kipindi ambacho huwa masaa machache tunakua wote nyumbani.
Mke ataki kusikia ushauri wowote unaohusiana na dada uyu na ataki swala la kuondoka kwake. Yeye amekua kiguu na njia majukumu yote ni kwa dada. Dada huyu uyu ninaewaambia. Sasa wanajamvi changamoto kama hizi mnazivuka aje
1. Dada anajua nguo ninazozipenda wife hamna kitu
2. Ashajua kuvaa kangha moja
3. Mitego anaitega hasaaaa
4. Vijinyimbo ivyo nawekewa
5. Jamani na mimi ni mtu, nina ngozi, masikio, pua, ulimi na macho
View attachment 3414232
Yesu alitufundisha ikiwa jicho lako linakukosesha ling'oe na kulitupa mbali.sasa wewe unamkodolea binti kwa macho yanayokukosesha.Wala si kosa la mke ambaye ana
Kama nakuona ndugu yangu... Umeamua kijikausha. Hii mambo kama utani flani 😂 😆 😂 😆Mungu nifundishe kunyamaza
Chukua haka kamfano kamanda, mmeingia kazin kwenye kazi ya kiume na mkakubaliana kuwa mkaze kazi iende. Isivyo bahatii katikati ya kazi unajisikia vibaya, kizungu zungu na hali mbaya. Kazi kama izo ushafanya sana na mara nyingi tena kiulaini kabisa. Ila hao jamaa kwao ndo mara ya kwanza kufanya nao kazi. Itakubidi useme tu.. Je watakuelewa kama hali unavyojielewa wewe??Huyo dada ameshagundua unamtamani ndio maana analeta mazingira hayo, wewe ni janaume puuzi lisilojali mustakabali wa familia na hasa watoto, ukiwa na mitamaa yako, wanawake wote wanaozagaa huko nje huwaoni?
Kumbe akili kichwani.. ila chipsi mayai na broila ni tofauti na chipsi mayai na kuku wa kienyeji. Ila zote ni chipsi kuku.Huyo dada ameshagundua unamtamani ndio maana analeta mazingira hayo, wewe ni janaume puuzi lisilojali mustakabali wa familia na hasa watoto, ukiwa na mitamaa yako, wanawake wote wanaozagaa huko nje huwaoni?
Onja mkuu..Habari wanajamvi, bila shaka ni wazima kabisa... Moja kwa moja twende kwenye Mada.
Mke kaamua kuleta dada wa kazi nyumbani ili amsaidie kazi ya kulea mtoto. Jambo ambalo nililipinga kwa kiasi kwani binafsi nimekua sehemu sana ya kusaidia kazi hizo na sikuona huo umuhimu wa dada. Siku zikasonga dada akakaribishwa nyumbani na kukabidhiwa majukumu yake.
Dada uyu anafanya kazi zake vizuri bila shaka wala wasiwasi. Mimi kazi zangu ni mtu wa kusafiri sana, ivyo naweza kaa uko siku nyingi au pia kukaa nyumbani siku kiasi.
Sasa dada uyu ameshakua mzoefu hapa nyumbani... Ananipa huduma za kama mfanyakazi wetu vizuri kabisa. Zaidi ameanza kuonyesha kuwa anataka ule zaidi ya ukaribu.
Ikabidi nimweke wazi wife ambaye mara nyingi hayupo nyumbani... Yaani huwa tunabaki mi na dada tu ukitoa masaa mawili ya juma pili. Kipindi ambacho huwa masaa machache tunakua wote nyumbani.
Mke ataki kusikia ushauri wowote unaohusiana na dada uyu na ataki swala la kuondoka kwake. Yeye amekua kiguu na njia majukumu yote ni kwa dada. Dada huyu uyu ninaewaambia. Sasa wanajamvi changamoto kama hizi mnazivuka aje
1. Dada anajua nguo ninazozipenda wife hamna kitu
2. Ashajua kuvaa kangha moja
3. Mitego anaitega hasaaaa
4. Vijinyimbo ivyo nawekewa
5. Jamani na mimi ni mtu, nina ngozi, masikio, pua, ulimi na macho
View attachment 3414232
Kwa nn ulikataa na una masaa machache?Jambo ambalo nililipinga kwa kiasi kwani binafsi nimekua sehemu sana ya kusaidia kazi hizo na sikuona huo umuhimu wa dada.
Na mtoto atabaki na nani kama unapinga mfanyakaz?Mimi kazi zangu ni mtu wa kusafiri sana, ivyo naweza kaa uko siku nyingi au pia kukaa nyumbani siku kiasi.
akiondoka na mke wako anamuda mchacheMke ataki kusikia ushauri wowote unaohusiana na dada uyu na ataki swala la kuondoka kwake.
Never Compare your wife with other WomenDada anajua nguo ninazozipenda wife hamna kitu
MpuuzieMitego anaitega hasaaaa