Dada wa kazi analeta Kizaazaa na Mkanganyiko

kuna siku nilikuja kuomba ushauri hapa kuhusu hilo suala kiukweli wengi walinikataza na ilinisaidia la sivyo ningemla yule
Alafu kama masihara flani... Yaani usiombe yakukute ndugu. Kana miaka kama ishirini.. kweli nakaza sana ..... Ila ukikakuta kamelala kwenye kochi hapo sebleni hahahah. Lazima uwe mfungwa na nyumba ni yako.
 
Mimi nilipoleta household, nilijua atakula, atashiba, atapendeza then kitaanza kumuwasha,
Nilimpa utaratibu, kwa vile alikuwa mkristo, nikamwambia kila jumapili ni lazima uhudhurie kanisani. Na ikibidi ujiunge na kikundi cha kwaya.
Mpaka anaondoka kwangu sijapata tatizo lolote. Rafiki hebu jaribu hiyo minutes.
 
Hii kiutu uzima zaidi
 
Mkuu glass of water 💧 una windo ndani, je sisi tunanyatia huko watoto wa jirani tunapanda juu ya ukuta kama na kutembea kama paka,🤣 harafu asubuhi unathathimi huu ukuta nilipandaje pandaje huko😆
 
Yaani ingekua inaruhisiwa kupost picha humu... Kingeileta ili Wadau Msaminishe mambo. Simba kukaa na nyama ni hatari alafu ukute yuo simba etty anakula Majani. Hahahajah
 
basi ndugu zangu kutokana na shughuli zetu hakika mihangaiko ni Mingi, tushatoka kuwadhulumu wanyonge tunaowaita wajinga na wasiosoma yaani mbumbumbu, basi tupo nyumbani na tuna andika andika vipande vya adithi katika maish yetu.

Kipande kipya.

Baada ya kurudi zangu nyumbani nikiwa na uchovu mwingi sana nikaamua nipunzike nyumbani akili itulie walau siku mbili hivi. Sasa kama kawaida mama watoto ni mtu wa mishemishe hapoi kabisa, yaani mara nyingi yeye ni mguu na njia. Kwa mbaaali nasikia maelekezo yake kwa dada " dada (anamtaja jina). Leo kila kitu hakikisha kinakaa sawa sawa na fanya kila kitu mapema. Mpe chai baba mapema nazani nitarudi jioni hivyo mengine jiongeze sawa.

Akili yangu inatasfiri mambo kwa haraka sana lakini natumia nguvu kufifisha ushupavu huu wa akili za mlango wa pili.

Sehemu yetu ya kunywea chai huwa ni sebleni, huwa sipendj kuletewa chai chumbani hivyo huwa natoka kupata chai. Bila kutarajia nimemkuta dada wa kazi akiwa uchi kabisa na kashikilia taulo lake mkononi

Nazani ni kama vile alistuka kiasi lakini hakupata wasiwasi mkubwa katika moyo wayo wake. Mara lile dude la kipepe likawa linanesanesa kama stabilizer link chin ya gari.

Hakika nilimwangia vizuri kwa umakini na kumuuliza kiukauzu, vipi mbona upo uchi na hapa ni sebleni???
 
Malizia mpaka mwisho acha kukatisha katisha
 
Umeshaambiwa ni msaidizi wa wife sasa unasubiri nn kupiga
 
Back
Top Bottom