Dada wa kazi analeta Kizaazaa na Mkanganyiko

Una tabia za Kike; Huwezi mwambie mke wako unategwa na Dada, sura ya kwanza kwako kumuelekea Dadana mazoea yako na Dada wal kazi yanaamua namna mtakayoishi, Ukiweka mipaka Dada ata comply.

Muasherati Mkubwa
 
Yesu alitufundisha ikiwa jicho lako linakukosesha ling'oe na kulitupa mbali.sasa wewe unamkodolea binti kwa macho yanayokukosesha.Wala si kosa la mke ambaye anakuamini kama mume wake
😅😅
 
Umeletewa agent wa Mossad, tembea kwa adabu. A
 
Naweza ona picha yake kwanza, kabla ya ushauri wa kitaalamu, tafadhali sana.
 
Hawa ndiyo wanakujaga humu kusema kataa ndoa,wakati hao hao ndiyo vyanzo vya matatizo ndani ya ndoa,
Kabisa
Nilichojifunza mara nyingi shida inaanza na mtu yeye mwenyewe
Mtu ajiulize je yeye ndio mwenye shida?
Amekosea nini? Akishajijua ni yeye atajua atijerekebisha kivipi
Ila akikimbilia kulalamikia vingine na aliyeanzisha shida ni yeye
Matatizo yatabak palepale
 
🤣🤣🤣
 
Ampe kidogo dada wa kazi Nae aonjeshwe , Dada wa kazi Nae ni mtu 🤣🤣
 
Yeah sure yote umesema kweli Jamaa lilivyokuwa jinga halishtuki
 
Nilitembeaga na dada mmja wa kazi,yule dogo alikuwa misri sana.sasa hivi siwezi kurudia Tena ila wadada ni wepesi sana kugonga ngozi ukigusa tuu lazima akupe
Hivi Kwa nini Iko hivyo !?
 
Inakuaje mtu mpaka unamtamani Dada wa kazi? Yaani unapata hata nguvu za kuandika Uzi,act masculinity mkuu acha huo ujinga kutaka kumharibia mtoto wa watu maisha, kumbuka wewe hapo ndiyo Baba wa familia,huyo hapo ni kama mwanao unapaswa umlee kujua the do's and don't.......MUNGU akuongoze 🙏
 
Jifungie kwenye Chumba
Kuwa busy na maombi
Akipiga kelele mwambie nipo kwenye maombi anyamaze asilete ujinga
Piga FIRE 🔥 (pepo litalipuka😅)
Akikutega mpuuzie kuwa busy kabisa
Pepo likilipuka amani itakua ya kutosha... Hata mimi nalipua tu mapepo sitaki ujinga.
 
Kula huyooo... Oa kabisa, piga mke chini
 
Pepo likilipuka amani itakua ya kutosha... Hata mimi nalipua tu mapepo sitaki ujinga.
Bora unalijua hilo
Mapepo ni mabaya sana
Yanacheza na mind za watu kuleta madhara
kibaya mtu asipo jua anaishia kuteseka
 
kuna siku nilikuja kuomba ushauri hapa kuhusu hilo suala kiukweli wengi walinikataza na ilinisaidia la sivyo ningemla yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…