rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Yaniu chaii chaii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaniu chaii chaii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Due dilligence ya haraka haraka imeonyesha una vistory vingi vya kuunga unga vya uongo na kweli.
Hii chai yako ya leo nimegoma kuinywa
View attachment 1622995
View attachment 1622996
Fanya confession kwa mkeo kisha ahidi kutorudia tena upumbavu huo.Habari za muda huu wapendwa?
Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika huyu dada nilimuona kama mtoto mdogo sana, baada ya kumaliza kama wiki hivi, nilianza kumzoea taratibu taratibu pia yeye alianza kunizoea kiaina.
Siku moja alitaka kwenda kuoga akawa amejifunga kanga moja halafu akanitania kwa kusema “shemeji twende tukaoge wote” na mimi nilimjibu kwa utani huku nikitabasamu na kusema “tangulia shemeji”.
Basi alipotoka bafuni tena akaniambia “mbona umenidanganya shemeji?” Nilishangaa kwani mimi nilichukulia kama ni utani tu kumbe alikuwa anamaanisha kweli. Wakati yupo chumbani nilisikia sauti yake tena akiniita nilipofika eti ananiuliza mafuta ya kupaka, nikamuelekeza sehemu yalipo.
Kabla sijaondoka eti ananiambia “naomba unisaidie kunipaka mafuta shemeji”. Duuh niliogopa sana maana huyu binti japo alikuwa ni mdogo lakini alikuwa na bonge la chura. Basi wakati naendelea na zoezi la kumpaka mafuta mara nikamsikia akitoa miguno ambayo siielewielewi.
Uzalendo ukamshinda na kuniambia “shemeji naomba unisaidie najisikia hamu kweli shemeji yangu”. Nami bila hiyana nilimpa dozi kweli kweli mpaka akasema shemeji sikuachi.
Tatizo limeanza pale alipofukuzwa na wife kwa kosa la utovu wa nidhamu. Cha ajabu ananilalamikia eti nimelala nae bila kumpa chochote. Mara anasema nimemaliza shida zangu halafu simjali tena. Ananitumia meseji za vitisho, anasema kama nataka kuendelea kuishi basi nimpe hata milioni moja afanye kama mtaji aanzishe biashara yeyote la sivyo patachimbika.
Sasa naombeni ushauri wadau huyu dada ana maana gani?
Chai bora ni majani ya TATEPA...Iwe ya maziwa isiwe ya maziwa...Vyovyote vile utachangamshwaaa!😂😂😂Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Halafu dada wa kazi kashamaliza wiki hajui mafuta ya kujipaka yalipo, ina maana alikuwa hajaoga wiki nzimaNilipofika hapo eti nikaanza kumpaka mafuta
Ndo nikajua huu utunzi mbovu
samahan mkuu hivi hiyo #YNWA maana ake nini..Tatizo chura tu mengine yooteee mbwembwe.
#YNWA
Hii chai tena ya tangawiziHabari za muda huu wapendwa?
Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika huyu dada nilimuona kama mtoto mdogo sana, baada ya kumaliza kama wiki hivi, nilianza kumzoea taratibu taratibu pia yeye alianza kunizoea kiaina.
Siku moja alitaka kwenda kuoga akawa amejifunga kanga moja halafu akanitania kwa kusema “shemeji twende tukaoge wote” na mimi nilimjibu kwa utani huku nikitabasamu na kusema “tangulia shemeji”.
Basi alipotoka bafuni tena akaniambia “mbona umenidanganya shemeji?” Nilishangaa kwani mimi nilichukulia kama ni utani tu kumbe alikuwa anamaanisha kweli. Wakati yupo chumbani nilisikia sauti yake tena akiniita nilipofika eti ananiuliza mafuta ya kupaka, nikamuelekeza sehemu yalipo.
Kabla sijaondoka eti ananiambia “naomba unisaidie kunipaka mafuta shemeji”. Duuh niliogopa sana maana huyu binti japo alikuwa ni mdogo lakini alikuwa na bonge la chura. Basi wakati naendelea na zoezi la kumpaka mafuta mara nikamsikia akitoa miguno ambayo siielewielewi.
Uzalendo ukamshinda na kuniambia “shemeji naomba unisaidie najisikia hamu kweli shemeji yangu”. Nami bila hiyana nilimpa dozi kweli kweli mpaka akasema shemeji sikuachi.
Tatizo limeanza pale alipofukuzwa na wife kwa kosa la utovu wa nidhamu. Cha ajabu ananilalamikia eti nimelala nae bila kumpa chochote. Mara anasema nimemaliza shida zangu halafu simjali tena. Ananitumia meseji za vitisho, anasema kama nataka kuendelea kuishi basi nimpe hata milioni moja afanye kama mtaji aanzishe biashara yeyote la sivyo patachimbika.
Sasa naombeni ushauri wadau huyu dada ana maana gani?
Mwaka huu alionyesha dalili kidogo kutusumbua huku juu ni Leicester city.samahan mkuu hivi hiyo #YNWA maana ake nini..
nipo na shemeji hapa kaniambia maana yake you'll never win again
Sent using Jamii Forums mobile app
amka blaza...mvua imekatikaMwaka huu alionyesha dalili kidogo kutusumbua huku juu ni Leicester city.
Mwaka huu ni YANGA na LIVERPOOL tena.
#YNWA
aise ukimblock si inakua imeisha ioo
Kama unatembea na hgirl means hata hiyo milioni aliyokuomba huna
Nimejaribu kumblock lakini anatumia namba nyingine kila siku