Dada wa kazi anani-blackmail baada ya kutembea naye

Hii kuiita chai ni kuikosea adabu chai.Hii ni "tangawizi".
 
Fanya confession kwa mkeo kisha ahidi kutorudia tena upumbavu huo.
 
Hii simulizi inafanana na simulizi zinatolewa na wavulana wanaishi kwa shemeji zao.
 
Nilipofika hapo eti nikaanza kumpaka mafuta
Ndo nikajua huu utunzi mbovu
Halafu dada wa kazi kashamaliza wiki hajui mafuta ya kujipaka yalipo, ina maana alikuwa hajaoga wiki nzima
 
Hii chai tena ya tangawizi
 
Hivi kwani wanaume wenye akili tu ndio wakioa nyie wengine mtapungukiwa na nini? Msipende kung'ang'ania vitu zimewazidi uwezo.
 
Nimejaribu kumblock lakini anatumia namba nyingine kila siku

Cha kufanya we mtafute tu halafu mkalishe kitako muongee vzr ili muelewane otherwise hutoweza kumkwepa b'se ataktafuta hata face to face [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…