Dada wa kazi anani-blackmail baada ya kutembea naye

Mkuu hiyo issue ni hatari sn sn b'se usipokua makini unaweza ukamkosa hata mkeo [emoji12], ushauri kiduchu ktk hilo mtafute mkalishe chini myaongee vzr ili kuyamaliza otherwise mkeo atasepa kwao mkuu [emoji2297]
 
Nitumie picha yako na yake ili tujue housemaid Ni yupi kati yenu
 
Ile kusema amemuelekeza H.G sehemu ya kuchukua mafuta ya kujipaka wakati H.G alikuwa chumbani kwake baada ya kutoka kuoga pekee inaelekea ni zaidi ya hekaya za abunuasi
Ikumbukwe hg ana zaidi ya wiki humo ndani. Halafu hg hawezi kuwa jasiri kiasi hicho.
 
anyway ila we jamaa ni certified idiot...
 
Sasa naombeni ushauri wadau huyu dada ana maana gani? ANA MAANA WEWE NI BWEGE kama inzi wa chooni...kuingia anaingia kimya kimya kutoka makelele....
 
Sasa si umpe hiyo milioni? Unatusumbua bure
 
We jamaa ni mjinga sana hata huyo mke wako atakuwa anaishi nawe kwa shida sana, baba mwenye nyumba kumla house girl ni tabia za kishenzi.

Are you he or she? No offense!
 
Hii story inasisimua, ebu tuwekee picha ya huyo mdada nahisi atakuwa ni yule niliyekutana naye.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀 hii Chai imezidi Sukari, Mwanaume mzima na akili zako timamu ulitoka wapi kumpaka House Girl Mafuta?
 
hiyo ni blackmail mzee na ni kosa la jinai anafanya...mimi ni mwasheria na ushauri wangu wa kisheria mpeleke mahakaman mfungulie kesi
siyo ushauri mzuri atamloga. Wanawake ni wachawi sana
 
We jamaa ni mjinga sana hata huyo mke wako atakuwa anaishi nawe kwa shida sana, baba mwenye nyumba kumla house girl ni tabia za kishenzi.
father Abraham mshenzi? Sema tu huwezi kuomba mzigo. Huna mvuto! Wa mapenzi.
unawajua house maid wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…