Dada wa kazi anani-blackmail baada ya kutembea naye

Kuna ushahidi wowote utakaothibitisha kuwa "umemkaza"? Kama hakuna basi we piga pini tu
 
hiyo ni blackmail mzee na ni kosa la jinai anafanya...mimi ni mwasheria na ushauri wangu wa kisheria mpeleke mahakaman mfungulie kesi
Kashasema ni mdogo, what if she is a minor?
 
hapo yeye atakula time ya kutembea na minor halafu minor atakula time ya kumblackmail...jamaa ataloose kama ni minor



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo bora apotezee tu as long as hakuna ushahidi wa kukitafuna less otherwise kama hako katoto kakituma sms jamaa anajibu. Kama kana akili kanawezatumia hizo sms kama ushahidi.
 
Buruza mahakamani tu kushney [emoji18]
 
 
 
ulivyo bwege....unafikiria kuna atakaekwambia mfanye mchepuko.... sambi sako mwenyewe...
 
Pambana na hali yako!
 
Unajua maana ya blackmail???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…