Dada wa mjini kimeumana Uturuki

Ndio maana binamu warumi alikuwaga hapendi code, code zinachelewesha umbea kusambaa kwa haraka 😂 😂 😂 😂 😂
 
Na ndo ilikuwa personality yake.... sasa akitoa sijui kama kuna jipya. Ila wanasema eti huenda ikawa si manyonyo yaliyompleka kuna Ramani nyingine na sponsa ni mume wa mdada mwenye trakko kubwa kiuno nyigu (huyu me mwenyewe sijammanya)
 
Mume gan? Yule wa ughaibun aliyezaa nae, au ex wake wa kitengo fulan pale sehemu nyeti nchini? Weuweeeeeeeeeeeeeh
 
Warumi ni ke ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…