Yale si maembe jamani mafenesiNilikuwa najiuliza kwamba zile sabuni za kuogea zinalipa mpaka balozi apewe offer ya sajari Uturuki!!! Kumbe kuna mengine nyuma ya pazia.
Ila yale maembe ni identity yake jamani, sijui kwanini wanayatoa.
Kizuri kula na nduguyoAcha umalaya
Uyu kumbuka si naskiaga ni Kiki tu wanatafutaga eti sio mzazi mwenzie
Relax ... huku umbeani hatutumii nguvu...huku raha tupu.Kwani ukiwa wa mwisho kutoa udaku au ukiwa ume copy na paste kinaongezeka nini kinapungua nini au mnataka sifa zisio na kichwa ba miguu
Kajala anafurahisha sana[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mwanawe!but namuelewa maana ndo uzazi tena!Naona Paula naye anaenda abroad (hahahaha ukute anaenda Malaysia kusomea kipodoz)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kajala anafurahisha sana[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mwanawe!but namuelewa maana ndo uzazi tena!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona Paula naye anaenda abroad (hahahaha ukute anaenda Malaysia kusomea kipodoz)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada humu JF nae kakopi kwa nyampua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale si maembe jamani mafenesi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dadadekii umetembelea viatyu vyangu bishooo wew1) Malkia aliitwa Ester
2)Broker kwa kiswahili ni Dalali
Salam ziende kwa Wanjara,Don Masha kitasa kwenye Bunyero,mwambie simba kasharara anataka msambwanda kwa buku jero. Aje
Isitoshe ndio yanampa chatiWatu wanahela za kuchezea jamani...yale maziwa ya Dada balozi yanashida gani hadi waamue kuyapeleka Turkey?
Ngoma drawMleta mada humu JF nae kakopi kwa nyampua
KweliAkili yangu inanituma baada ya goli la China kuwa gumu inaonekana Uturuki ndio upenyo mpya wa wasafirisha unga.
Subirini tu siku si nyingi mtaniambia, kwamba sasa hivi hospitali za India hazifai tena?
Hee kumbe kuna mchuano? Me sikujua.Acha mkuu kuwa disappoint Watu hapa upo mchuano wa kumtafuta mrithi wa warumi