Dada yake Polepole aliomba Bunge la Ulaya kutoliadhibu Taifa nzima bali wawekewe vikwazo wanaohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu

angeomba na pesa kidogo kwajili ya kuwasitiri viongozi wa chadema wanaodhalilishwa na mikopo ya kausha damu na ingependeza zaidi.

kuliombea taifa lake tu mabaya ni utumwa na ushirikina wa kimaskini na kisakolojia 🐒
Swali ni kwamba, Polepole yuko wapi!?

Chadema imeingiaje hapo.
Wewe una sifa nzuri kabisa ya kuwa mbunge...sijui mboga mboga walikunyimaje hiyo nafasi.
 
kwani alikua wapi ana kaa na kuishi na nani huyo muungwana?
au nae ni miongoni mwa vijana waoga wa maisha na wanaoteswa na upeke kwenye dunia hii? :1Head:
 
angeomba na pesa kidogo kwajili ya kuwasitiri viongozi wa chadema wanaodhalilishwa na mikopo ya kausha damu na ingependeza zaidi.

kuliombea taifa lake tu mabaya ni utumwa na ushirikina wa kimaskini na kisakolojia 🐒
🙂
blaza pesa siyo kila kiyu .unaweza ukawa kama yuda iskarioti alienda kujitundika baada ya kukatalia kurudisha pesa za damu .open your eyes
 
uko sahihi gentleman kwamba pesa sio kitu,
ndio maana hata Tanzania haibabaiki kabisa na pesa za misaada hao mabwenyenye ya magharibi :1Head:
 
Back
Top Bottom