Dada yake Polepole aliomba Bunge la Ulaya kutoliadhibu Taifa nzima bali wawekewe vikwazo wanaohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu

W

Wazee wetu wale Waliopambana na kufa katika harakati za kutafuta uhuru wa bara la Afrika wakiona ussenge wa waafrika wa sasa wa kujikombakomba kwa wazungu unaofanywa nyakati hzi watakuwa wanaumia sana huko kaburini.
Ila wakiona Waafrika wenzao wenye mamlaka wanavyowauwa raia wasio na siraha wala mamlaka watafurahi sana si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…