mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Zipi hizo?Poleni. Wapeleke mahakamani.
Za bongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipi hizo?Poleni. Wapeleke mahakamani.
Hospitali zetu kulipishwa bila kupewa huduma husika ni jambo la kawaida, serikali inataka pesa za kununua sare za suti za watumishi kwa ajili ya kampeni.Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam.
Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia tulihitaji kumuona, wakati tukiwa hapo tukapata huduma nzuri tu ya muda.
Tukapatiwa Ambulance iliyotupeleka hadi Muhimbili, wakampokea vizuri mgonjwa na kumpa huduma mbalimbali.
Muda mfupi baadaye wakatuambia kuwa tunatakiwa kulipia chumba kwa gharama ya Shilingi 50,000, pale Mwaisela, huku akiwa anaendelea kupatiwa matibabu ikiwemo kupewa Oxygen kwa kuwa mgonjwa alionakana ana shida ya kupumua.
Baada ya kulipa, wakatuambia hakuna vitanda hivyo wanataka kutupeleka Hospitali ya Mloganzila.
View attachment 3065740
Sisi tukakataa, muda huo ni saa kumi alfajiri, tukawambia tunaomba kama kweli hakuna kitanda basi mgonjwa abaki pale ‘Emergency’ hadi asubuhi kwa kuwa tayari tulishalipia chumba na kuanza kuangaika n ambulance kuelekea Mloganzila wakati tumeshafanya vipimo na taratibu nyingine itakuwa ni usumbufu na pia sio njema kwa mgonjwa.
Ukatokea ubishani pale, sisi tukakataa, lakini Madaktari wa Muhimbili waliokuwepo wakafanya maamuzi ya kibabe wakasema mgonjwa wetu Lilian anaingizwa kwenye Ambulance kupelekwa Mkoganzila.
Wakati wakifnya maamuzi hayo, kuna Nesi mmoja akasema “fanyeni haraka Oxygen inaisha”.
Walipofika Kimara, ndugu yetu aliyekuwa kwenye Ambulance akanijulisha kuwa Oxygen imekata, hadi wanafika Mbezi tayari Oxygen ilikuwa imeshakata na mgonjwa wangu akafariki.
Inawezekana ni siku yake ilikuwa imewadia lakini kilichotokea ni uzembe wa baadhi ya Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili na watendaji wengine kadhaa waliokuwepo.
Kwanza najiuliza kwanini walitulipisha kitanda wakijua hakuna kitanda, pili kwanini walimwekea mgonjwa Oxygen kidogo na kwa kauli iliyotolewa pale ni wazi walijua hiyo haitamfikisha Mgonjwa Mloganzila.
Tatu kulikuwa na haja gani ya kumpeleka Mloganzila wakati tayari kulikuwa kunaelekea kukucha na mmoja wa Madaktari aliwaambia wenzake tubaki pale lakini wenzake hawakumsikiliza.
Baada ya msiba nilipouliza mmoja wa Madaktari wa Muhimbili kwanini walitupa Oxygen kidogo anadai lile lilikuwa jukumu la watu wa Ambulance kukagua na sio jukumu lao.
Walichokifanya Madaktari hao wa Muhimbli waliokuwa zamu Usiku wa tukio hakikuwa cha kibinadamu na kama wanafanya hivi basi maisha ya watu wengi yapo hatarini.
Kwa nini nimewasilisha malalamiko yangu hapa JamiiForums, nataka Dunia ijue kuwa kuna baadhi ya Watumishi wa Muhimbili wanatakiwa kujirekebisha, najua roho ya dada yanu haiwezi kurudi ila basi angalau wasingetuonesha wazi kuwa wanataka ndugu yetu afe, pia iwe somo kwa wengine wawe makini.
View attachment 3065744
Miamala ya malipo tuliyofanya kabla ya Mgonjwa kulazimishwa kupelekwa Mloganzila
Pole sana tena sana Mungu atakulipia kwa hili, kwa jinsi ulivyolielezea hili wewe ni muungwana sana na nia yako kulinda wengine ya Dada umeyakubali. Natamani muhusika mmoja apite hapa na aone huu uzi ili wafanye kitu kurekebisha haya mambo japo tunajuwa kuna madudu mengi sana kwenye Hospital zetu.Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam.
Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia tulihitaji kumuona, wakati tukiwa hapo tukapata huduma nzuri tu ya muda.
Tukapatiwa Ambulance iliyotupeleka hadi Muhimbili, wakampokea vizuri mgonjwa na kumpa huduma mbalimbali.
Muda mfupi baadaye wakatuambia kuwa tunatakiwa kulipia chumba kwa gharama ya Shilingi 50,000, pale Mwaisela, huku akiwa anaendelea kupatiwa matibabu ikiwemo kupewa Oxygen kwa kuwa mgonjwa alionakana ana shida ya kupumua.
Baada ya kulipa, wakatuambia hakuna vitanda hivyo wanataka kutupeleka Hospitali ya Mloganzila.
View attachment 3065740
Sisi tukakataa, muda huo ni saa kumi alfajiri, tukawambia tunaomba kama kweli hakuna kitanda basi mgonjwa abaki pale ‘Emergency’ hadi asubuhi kwa kuwa tayari tulishalipia chumba na kuanza kuangaika n ambulance kuelekea Mloganzila wakati tumeshafanya vipimo na taratibu nyingine itakuwa ni usumbufu na pia sio njema kwa mgonjwa.
Ukatokea ubishani pale, sisi tukakataa, lakini Madaktari wa Muhimbili waliokuwepo wakafanya maamuzi ya kibabe wakasema mgonjwa wetu Lilian anaingizwa kwenye Ambulance kupelekwa Mkoganzila.
Wakati wakifnya maamuzi hayo, kuna Nesi mmoja akasema “fanyeni haraka Oxygen inaisha”.
Walipofika Kimara, ndugu yetu aliyekuwa kwenye Ambulance akanijulisha kuwa Oxygen imekata, hadi wanafika Mbezi tayari Oxygen ilikuwa imeshakata na mgonjwa wangu akafariki.
Inawezekana ni siku yake ilikuwa imewadia lakini kilichotokea ni uzembe wa baadhi ya Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili na watendaji wengine kadhaa waliokuwepo.
Kwanza najiuliza kwanini walitulipisha kitanda wakijua hakuna kitanda, pili kwanini walimwekea mgonjwa Oxygen kidogo na kwa kauli iliyotolewa pale ni wazi walijua hiyo haitamfikisha Mgonjwa Mloganzila.
Tatu kulikuwa na haja gani ya kumpeleka Mloganzila wakati tayari kulikuwa kunaelekea kukucha na mmoja wa Madaktari aliwaambia wenzake tubaki pale lakini wenzake hawakumsikiliza.
Baada ya msiba nilipouliza mmoja wa Madaktari wa Muhimbili kwanini walitupa Oxygen kidogo anadai lile lilikuwa jukumu la watu wa Ambulance kukagua na sio jukumu lao.
Walichokifanya Madaktari hao wa Muhimbli waliokuwa zamu Usiku wa tukio hakikuwa cha kibinadamu na kama wanafanya hivi basi maisha ya watu wengi yapo hatarini.
Kwa nini nimewasilisha malalamiko yangu hapa JamiiForums, nataka Dunia ijue kuwa kuna baadhi ya Watumishi wa Muhimbili wanatakiwa kujirekebisha, najua roho ya dada yanu haiwezi kurudi ila basi angalau wasingetuonesha wazi kuwa wanataka ndugu yetu afe, pia iwe somo kwa wengine wawe makini.
View attachment 3065744
Miamala ya malipo tuliyofanya kabla ya Mgonjwa kulazimishwa kupelekwa Mloganzila
Wajinga kama wewe bado ni wengi sana nchi hii..Dah poleni sana na nikupongeze kwa uandishi smart.Wala usione umelalamika hapana kifo ni mpango wa Mungu kama una imani ila kwa kifo cha dada yako kitumike pia kukomesha uzembe wa wahudumu wa afya natamani Waziri Ummy some uzi huu poleni kwa msiba ndugu RIP dada yetu.
Tatizo baba yake hakua kiongozi mkubwa CCM, huenda naye angekuwa waziri na wasingeanza kumlipisha kabla ya huduma.Pole sana tena sana Mungu atakulipia kwa hili, kwa jinsi ulivyolielezea hili wewe ni muungwana sana na nia yako kulinda wengine ya Dada umeyakubali. Natamani muhusika mmoja apite hapa na aone huu uzi ili wafanye kitu kurekebisha haya mambo japo tunajuwa kuna madudu mengi sana kwenye Hospital zetu.
Mkuu pole sana kwa kufiwa na dada yako lakini mkiambiwa kuwa mujaribu na kutumia Dawa za Asili kutibu maradhi sugu kama hayo ya Saratani Ukimwi Hepatiti B Virus maradhi ya kisukari na maradhi Presha munadharau dawa za asili maradhi hayo niliuyoyataja hakuna dawa Yoyote ya Hospitali itakayoweza kutibu na kuponyesha mgonjwa. Ukimpeleka mgonjwa Hospitali akiwa na hayo maradhi ujuwe unampeleka kwenda kwenye kifo kwani hataweza kupona kwa dawa za Hospitali sio rahisi kabisa.Pole sana na uguwa pole kwa kumkosa Dada yetu RIP.Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam.
Wakati tunaelekea Muhimbili tukapita Hindu Mandal kwa kuwa kuna Daktari ambaye pia tulihitaji kumuona, wakati tukiwa hapo tukapata huduma nzuri tu ya muda.
Tukapatiwa Ambulance iliyotupeleka hadi Muhimbili, wakampokea vizuri mgonjwa na kumpa huduma mbalimbali.
Muda mfupi baadaye wakatuambia kuwa tunatakiwa kulipia chumba kwa gharama ya Shilingi 50,000, pale Mwaisela, huku akiwa anaendelea kupatiwa matibabu ikiwemo kupewa Oxygen kwa kuwa mgonjwa alionakana ana shida ya kupumua.
Baada ya kulipa, wakatuambia hakuna vitanda hivyo wanataka kutupeleka Hospitali ya Mloganzila.
View attachment 3065740
Sisi tukakataa, muda huo ni saa kumi alfajiri, tukawambia tunaomba kama kweli hakuna kitanda basi mgonjwa abaki pale ‘Emergency’ hadi asubuhi kwa kuwa tayari tulishalipia chumba na kuanza kuangaika n ambulance kuelekea Mloganzila wakati tumeshafanya vipimo na taratibu nyingine itakuwa ni usumbufu na pia sio njema kwa mgonjwa.
Ukatokea ubishani pale, sisi tukakataa, lakini Madaktari wa Muhimbili waliokuwepo wakafanya maamuzi ya kibabe wakasema mgonjwa wetu Lilian anaingizwa kwenye Ambulance kupelekwa Mkoganzila.
Wakati wakifnya maamuzi hayo, kuna Nesi mmoja akasema “fanyeni haraka Oxygen inaisha”.
Walipofika Kimara, ndugu yetu aliyekuwa kwenye Ambulance akanijulisha kuwa Oxygen imekata, hadi wanafika Mbezi tayari Oxygen ilikuwa imeshakata na mgonjwa wangu akafariki.
Inawezekana ni siku yake ilikuwa imewadia lakini kilichotokea ni uzembe wa baadhi ya Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili na watendaji wengine kadhaa waliokuwepo.
Kwanza najiuliza kwanini walitulipisha kitanda wakijua hakuna kitanda, pili kwanini walimwekea mgonjwa Oxygen kidogo na kwa kauli iliyotolewa pale ni wazi walijua hiyo haitamfikisha Mgonjwa Mloganzila.
Tatu kulikuwa na haja gani ya kumpeleka Mloganzila wakati tayari kulikuwa kunaelekea kukucha na mmoja wa Madaktari aliwaambia wenzake tubaki pale lakini wenzake hawakumsikiliza.
Baada ya msiba nilipouliza mmoja wa Madaktari wa Muhimbili kwanini walitupa Oxygen kidogo anadai lile lilikuwa jukumu la watu wa Ambulance kukagua na sio jukumu lao.
Walichokifanya Madaktari hao wa Muhimbli waliokuwa zamu Usiku wa tukio hakikuwa cha kibinadamu na kama wanafanya hivi basi maisha ya watu wengi yapo hatarini.
Kwa nini nimewasilisha malalamiko yangu hapa JamiiForums, nataka Dunia ijue kuwa kuna baadhi ya Watumishi wa Muhimbili wanatakiwa kujirekebisha, najua roho ya dada yanu haiwezi kurudi ila basi angalau wasingetuonesha wazi kuwa wanataka ndugu yetu afe, pia iwe somo kwa wengine wawe makini.
View attachment 3065744
Miamala ya malipo tuliyofanya kabla ya Mgonjwa kulazimishwa kupelekwa Mloganzila
Tatizo mawasiliano unakuta daktari yeye hahusiki na vitanda Wala sehemu ya kugawa dawa wala sehemu Hizo za huduma nyingine ziwe maabara nkHospitali zetu kulipishwa bila kupewa huduma husika ni jambo la kawaida, serikali inataka pesa za kununua sare za suti za watumishi kwa ajili ya kampeni.
Hio tag haijakolea😀Hao madaktari saa nyingine nao huugua na kunywa dawa overdoses.
Pole.
Umi hafiki huku, niitieni @Dr.Dorothy Ngwajima
Postmortem report itaandikwa vizuri itaonekana hakuna uzembe.Poleni. Wapeleke mahakamani.
Hakuna mtu ambaye hatonja mauti. Tunapokwenda hospitali tunategemea hospatali kutusaidia kuahirisha vifo vyetu. Iwapo hospitali inarahisisha kifo badala ya kuahirisha kifo basi hospitali hiyo ina tatizo.Poleni sana ila mgonjwa wenu alikufa natural death kwahiyo hapo ulipoandika siku zake zilikuwa zimefika pigia mstari saratani sio ugonjwa mdogo ujue na inawezekana ilikuwa ishafika mpaka kwenye mapafu huko.
Nimeshindwa kuelewa komenti yako, hata hivyo wodi zote zina uongozi wake wanaotoa taarifa kama zimejaa au vipi, nawapokea malipo hutakiwa kujua wodi gani ina kitanda na mgojwa huanza kupokelewa wodini ndipo unalipia kitanda ambacho hata hivyo ni aghari kuliko hotelini! No breakfast, no AC, no hot water, no clean bedsheets, no private nurse and most of all no no no ni dhuluma tu.Tatizo mawasiliano unakuta daktari yeye hahusiki na vitanda Wala sehemu ya kugawa dawa wala sehemu Hizo za huduma nyingine ziwe maabara nk
Yeye akiona mgonjwa amemwandikia kuwa akalazwe n wapi atalazwa sio KAZI Yake hao walazaji ndio watajua kama watamlaza kwenye bodaboda au mtaroni au kwenye daladala haimhusu na pia kabla kulazwa inatakiwa kulipia Kwanza daktari akiandika ulazwe .Mpokea malipo sio daktari na hahusiki na kulaza MTU yeye hupokea malipo Tu akishapokea ndipo huota go ahead uende huko Kwa walazaji wajue wakulaze wapi
Sasa na wao wakipokea ndipo huanza kuhaha watamlaza wapi Hilo halihusu madaktari wala Mpokea pesa NI wao watafute pa kulaza
Hospital a serikali kuna urasimi na NI.pasua kichwa hawaruhusu MTU mmoja kufanya majukumu yote.au kuwa na information zote na kufanya maamuzi
Hapo
Pia hiyo mitungi ya gesi sio KAZI ya manesi kujaza wao huhusika Tu kuwekea Tu mgonjwa .Wanaojaza oxygen wengine
Ukiumwa NI.kukazana kuomba Mungu Sana tu pia badala Tu ya kuwa na Imani kubwa Sana Kwa hospital Tu
Msione watu wanajazana Kwa Mwamposya kuna maneno msije ona wajinga au wamechanganyikiwa
Hospital huwa wanaahirisha kifo sidhani.Hospitali NI wakweli Sana ndio maana huwa kuna mortuary wamejenga hospitalini kuwa mwenye macho haambiwi tazama kuwa MTU akikanyaga hospitali ajue kuna mawili kupona au kuishia kwenye jengo la mortuary analiliona hawafanyi Siri jengo liko wazi kama yalivyo majengo ya madaktari ,maabara,wodi nkHakuna mtu ambaye hatonja mauti. Tunapokwenda hospitali tunategemea hospatali kutusaidia kuahirisha vifo vyetu. Iwapo hospitali inarahisisha kifo badala ya kuahirisha kifo basi hospitali hiyo ina tatizo.
Very serious note.Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es Salaam.