Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbavuMimi ni Binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo, nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidoago cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada na kila kitu anafanya dada, mpaka ada za watoto, shemeji alikua akimuomba pesa akikataa anampiga.
Nilikaa nikiwa chuo mwaka wa kwanza mwishoni mwishoni shemeji alikuja kwangu, akaanza kuniambia ni kwanini anampiga dada yangu, alikua ananiambia kuwa anmapigakwakua dadayangu ni mkorofi, kiburi na ni mchawi anamloga ndiyo maana hafanikiwi. Aliniambia mambo mengi ya Dada ambayo yalinifanya ni mchukie dada,a kaniambia anataka kutoa pesa lakini dada yangu hataki kwani ni mchawi.
Nilijikuta nakua karibu na shemu mpaka tukaanzisha mahusiano, akawa ananipenda ikafikia hatua tunafanya mambo waziwazi, dada alijua tukawa tunagombana lakini shemeji ndiyo alikua ni kila kitu akawa anampiga ananyamaza. Sasa mwaka jana mwezi wa nane nilipata ujauzito, shemeji aliniambia nibebe mimba kwani ananipenda na anataka mtoto na mimi.
Kweli nilibeba mimba, lakini nilipoenda kupima kiliniki nikaambiwa kuwa nimeathirika hivyo nianze kutumia dawa, nilichanganyikiwa ila nilipomuambia shemeji hakujali. Nilimuambia dada akaishia kuniambia kuwa mbona yeye kaathirika muda tu anatumia dawa shemeji ndiyo aligoma kutumia dawa.
Niliumia sana kwani dada yangu kaniambukiza UKIMWI makusudi, alijua kuwa mume wake anaumwa lakini hakuniambia. Shida nyingine Kaka nikuwa Dada yangu kaondoka hapa nyumbani katuachia nyumba mimi na shemeji, nyumba ina jina la dada na ina hati kabisa, shemeji alitaka kuiuza lakini akashindwa, sasa shemeji hana pesa amekua mtu wa hasira.
Kaka natakiwa kulipa ada ya chuo nililipa kidogo lakini sasa hivi shemeji hana pesa na dad ahataki kunilipia na nimjamzito, nisaidie kaka uongee na dada yangu umuambie kuwa nimejutia kwani sina namna. Kaka yeye ndiyo anatakiwa kunisaidia kwani ni kama yeye ndiyo aliniambukiza, alijua mume wake ana UKIMWI lakini hakuniambia, najua nimemkosea Kaka lakini nayeye amenikosea kwani mimi ni mdogo wake alipaswa kunilinda.
NB: Mnaoishi kwa ndugu zenu tulieni, ukiona mpaka shemeji yako kakutongoza basi jua kuwa huyo ni mshenzi wa washenzi, aisee hivi visa vimekua vingi sana. Najua wakati mwingine ni ngumu kukataa mkishasikia pesa ila jithaminini, hao wanaume ni washeni, yakiwakuta wanawaacha na aibu halafu hamna kitu, visa hivi ni vingi mpaka basi, aisee mnawakatisha tamaa ndugu zenu kuwasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlaumu dada yako bali laumu tabia yako ya umalaya.Mimi ni Binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo, nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidoago cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada na kila kitu anafanya dada, mpaka ada za watoto, shemeji alikua akimuomba pesa akikataa anampiga.
Nilikaa nikiwa chuo mwaka wa kwanza mwishoni mwishoni shemeji alikuja kwangu, akaanza kuniambia ni kwanini anampiga dada yangu, alikua ananiambia kuwa anmapigakwakua dadayangu ni mkorofi, kiburi na ni mchawi anamloga ndiyo maana hafanikiwi. Aliniambia mambo mengi ya Dada ambayo yalinifanya ni mchukie dada,a kaniambia anataka kutoa pesa lakini dada yangu hataki kwani ni mchawi.
Nilijikuta nakua karibu na shemu mpaka tukaanzisha mahusiano, akawa ananipenda ikafikia hatua tunafanya mambo waziwazi, dada alijua tukawa tunagombana lakini shemeji ndiyo alikua ni kila kitu akawa anampiga ananyamaza. Sasa mwaka jana mwezi wa nane nilipata ujauzito, shemeji aliniambia nibebe mimba kwani ananipenda na anataka mtoto na mimi.
Kweli nilibeba mimba, lakini nilipoenda kupima kiliniki nikaambiwa kuwa nimeathirika hivyo nianze kutumia dawa, nilichanganyikiwa ila nilipomuambia shemeji hakujali. Nilimuambia dada akaishia kuniambia kuwa mbona yeye kaathirika muda tu anatumia dawa shemeji ndiyo aligoma kutumia dawa.
Niliumia sana kwani dada yangu kaniambukiza UKIMWI makusudi, alijua kuwa mume wake anaumwa lakini hakuniambia. Shida nyingine Kaka nikuwa Dada yangu kaondoka hapa nyumbani katuachia nyumba mimi na shemeji, nyumba ina jina la dada na ina hati kabisa, shemeji alitaka kuiuza lakini akashindwa, sasa shemeji hana pesa amekua mtu wa hasira.
Kaka natakiwa kulipa ada ya chuo nililipa kidogo lakini sasa hivi shemeji hana pesa na dad ahataki kunilipia na nimjamzito, nisaidie kaka uongee na dada yangu umuambie kuwa nimejutia kwani sina namna. Kaka yeye ndiyo anatakiwa kunisaidia kwani ni kama yeye ndiyo aliniambukiza, alijua mume wake ana UKIMWI lakini hakuniambia, najua nimemkosea Kaka lakini nayeye amenikosea kwani mimi ni mdogo wake alipaswa kunilinda.
NB: Mnaoishi kwa ndugu zenu tulieni, ukiona mpaka shemeji yako kakutongoza basi jua kuwa huyo ni mshenzi wa washenzi, aisee hivi visa vimekua vingi sana. Najua wakati mwingine ni ngumu kukataa mkishasikia pesa ila jithaminini, hao wanaume ni washeni, yakiwakuta wanawaacha na aibu halafu hamna kitu, visa hivi ni vingi mpaka basi, aisee mnawakatisha tamaa ndugu zenu kuwasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
We akili hauna. Umepata ulichostahili...Mimi ni Binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo, nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidoago cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada na kila kitu anafanya dada, mpaka ada za watoto, shemeji alikua akimuomba pesa akikataa anampiga.
Nilikaa nikiwa chuo mwaka wa kwanza mwishoni mwishoni shemeji alikuja kwangu, akaanza kuniambia ni kwanini anampiga dada yangu, alikua ananiambia kuwa anmapigakwakua dadayangu ni mkorofi, kiburi na ni mchawi anamloga ndiyo maana hafanikiwi. Aliniambia mambo mengi ya Dada ambayo yalinifanya ni mchukie dada,a kaniambia anataka kutoa pesa lakini dada yangu hataki kwani ni mchawi.
Nilijikuta nakua karibu na shemu mpaka tukaanzisha mahusiano, akawa ananipenda ikafikia hatua tunafanya mambo waziwazi, dada alijua tukawa tunagombana lakini shemeji ndiyo alikua ni kila kitu akawa anampiga ananyamaza. Sasa mwaka jana mwezi wa nane nilipata ujauzito, shemeji aliniambia nibebe mimba kwani ananipenda na anataka mtoto na mimi.
Kweli nilibeba mimba, lakini nilipoenda kupima kiliniki nikaambiwa kuwa nimeathirika hivyo nianze kutumia dawa, nilichanganyikiwa ila nilipomuambia shemeji hakujali. Nilimuambia dada akaishia kuniambia kuwa mbona yeye kaathirika muda tu anatumia dawa shemeji ndiyo aligoma kutumia dawa.
Niliumia sana kwani dada yangu kaniambukiza UKIMWI makusudi, alijua kuwa mume wake anaumwa lakini hakuniambia. Shida nyingine Kaka nikuwa Dada yangu kaondoka hapa nyumbani katuachia nyumba mimi na shemeji, nyumba ina jina la dada na ina hati kabisa, shemeji alitaka kuiuza lakini akashindwa, sasa shemeji hana pesa amekua mtu wa hasira.
Kaka natakiwa kulipa ada ya chuo nililipa kidogo lakini sasa hivi shemeji hana pesa na dad ahataki kunilipia na nimjamzito, nisaidie kaka uongee na dada yangu umuambie kuwa nimejutia kwani sina namna. Kaka yeye ndiyo anatakiwa kunisaidia kwani ni kama yeye ndiyo aliniambukiza, alijua mume wake ana UKIMWI lakini hakuniambia, najua nimemkosea Kaka lakini nayeye amenikosea kwani mimi ni mdogo wake alipaswa kunilinda.
NB: Mnaoishi kwa ndugu zenu tulieni, ukiona mpaka shemeji yako kakutongoza basi jua kuwa huyo ni mshenzi wa washenzi, aisee hivi visa vimekua vingi sana. Najua wakati mwingine ni ngumu kukataa mkishasikia pesa ila jithaminini, hao wanaume ni washeni, yakiwakuta wanawaacha na aibu halafu hamna kitu, visa hivi ni vingi mpaka basi, aisee mnawakatisha tamaa ndugu zenu kuwasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo, nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidoago cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada na kila kitu anafanya dada, mpaka ada za watoto, shemeji alikua akimuomba pesa akikataa anampiga.
Nilikaa nikiwa chuo mwaka wa kwanza mwishoni mwishoni shemeji alikuja kwangu, akaanza kuniambia ni kwanini anampiga dada yangu, alikua ananiambia kuwa anmapigakwakua dadayangu ni mkorofi, kiburi na ni mchawi anamloga ndiyo maana hafanikiwi. Aliniambia mambo mengi ya Dada ambayo yalinifanya ni mchukie dada,a kaniambia anataka kutoa pesa lakini dada yangu hataki kwani ni mchawi.
Nilijikuta nakua karibu na shemu mpaka tukaanzisha mahusiano, akawa ananipenda ikafikia hatua tunafanya mambo waziwazi, dada alijua tukawa tunagombana lakini shemeji ndiyo alikua ni kila kitu akawa anampiga ananyamaza. Sasa mwaka jana mwezi wa nane nilipata ujauzito, shemeji aliniambia nibebe mimba kwani ananipenda na anataka mtoto na mimi.
Kweli nilibeba mimba, lakini nilipoenda kupima kiliniki nikaambiwa kuwa nimeathirika hivyo nianze kutumia dawa, nilichanganyikiwa ila nilipomuambia shemeji hakujali. Nilimuambia dada akaishia kuniambia kuwa mbona yeye kaathirika muda tu anatumia dawa shemeji ndiyo aligoma kutumia dawa.
Niliumia sana kwani dada yangu kaniambukiza UKIMWI makusudi, alijua kuwa mume wake anaumwa lakini hakuniambia. Shida nyingine Kaka nikuwa Dada yangu kaondoka hapa nyumbani katuachia nyumba mimi na shemeji, nyumba ina jina la dada na ina hati kabisa, shemeji alitaka kuiuza lakini akashindwa, sasa shemeji hana pesa amekua mtu wa hasira.
Kaka natakiwa kulipa ada ya chuo nililipa kidogo lakini sasa hivi shemeji hana pesa na dad ahataki kunilipia na nimjamzito, nisaidie kaka uongee na dada yangu umuambie kuwa nimejutia kwani sina namna. Kaka yeye ndiyo anatakiwa kunisaidia kwani ni kama yeye ndiyo aliniambukiza, alijua mume wake ana UKIMWI lakini hakuniambia, najua nimemkosea Kaka lakini nayeye amenikosea kwani mimi ni mdogo wake alipaswa kunilinda.
NB: Mnaoishi kwa ndugu zenu tulieni, ukiona mpaka shemeji yako kakutongoza basi jua kuwa huyo ni mshenzi wa washenzi, aisee hivi visa vimekua vingi sana. Najua wakati mwingine ni ngumu kukataa mkishasikia pesa ila jithaminini, hao wanaume ni washeni, yakiwakuta wanawaacha na aibu halafu hamna kitu, visa hivi ni vingi mpaka basi, aisee mnawakatisha tamaa ndugu zenu kuwasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karama ya Dhambi mwisho wake ni mauti sio mimi kasome maandikoMimi ni Binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo, nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidoago cha sita baada ya wazazi wangu kufariki. Baada ya kuja kwa dada iniliona tabia mbaya za shemeji, alikua hahudumii chochote, anampiga sana dada na kila kitu anafanya dada, mpaka ada za watoto, shemeji alikua akimuomba pesa akikataa anampiga.