Dada yangu ameniambukiza UKIMWI na hataki tena kunisaidia

We ni mshen........mkubwa yani ujinga wako umeyapata ya kupatikana sasa unaanza mlaumu dada yako usinge pata ukimwi ungeleta huu uzi wako apa? kwanza..how dare u dating her husband acha ile kwako....idiot
 
Hongera kwa kweli.
 
.....................Duh nilitaka ni-comment shit moja mbaya sana ila nimekuja kuelewa hapo kwenye paragraph ya mwisho,kweli kuna umuhimu mkubwa wa kusoma na kumaliza kabla mtu hujatia neno.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kuna watu mapovu yamewatoka humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utadhani ni story ya kweli kumbe ya kutunga na aliye leta hii mada wenyewe sijui kaitoa FB, maana naona kila mtu anamshutumu kuwa kaitoa huko.
.....................Duh nilitaka ni-comment shit moja mbaya sana ila nimekuja kuelewa hapo kwenye paragraph ya mwisho,kweli kuna umuhimu mkubwa wa kusoma na kumaliza kabla mtu hujatia neno.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe kahaba umepata matunda ya ukahaba wako.
Unaingilia ndoa ya Dada yako alafu unakuja huku kumlahumu?
Ulipoambiwa makosa yake na huyo shemeji yako, ulienda kumuuliza dadako au ndo ulichukulia hiyo nafasi ya kumsaliti?
Yawezekana ugomvi ulikuwa kwa sababu hataki kutumia dawa, wewe ukajifanya mjuaji, haya umeshayavulia, basi yhaoge tu.
 
story kama ni kweli mimi nichukue fursa hii kumpongeza dada ako.

mwana kuyataka mwana kuyapata😉
 
Hivi wewe umerogwa?? Dada ako anahusikaje sasa wakati ni mitamaa yako shabashi
 
Kama Chai vile. kama ni kweli basi tambua kuwa Dada yako hana makosa bali wewe ndio mkosaji.
 
🤣🤣🤣🤣 HUYO DADA YAKO ALIFANYA VYEMA KABISA
 
Niliumia sana kwani dada yangu kaniambukiza UKIMWI makusudi,
Wakati unatongozwa na kukubali dada alikuwepo?
Wakati mnakulana dada alikuwepo?
Wakati huo, wewe ndo ulijiona bora kuliko dada yako, ulitakiwa ubaki na msimamo wako kama kukataa ukatae!
Usimbebeshe dada wa watu mzigo wa dhambi,
 
Mara dada mara kaka mara shemeji..yaani full mvurugano. A university student!! Jesus christ

Anyway, stori inafundisha kuwa usipende kulindwa wakati wewe kulinda hupendi
Uwandishi wake ni wa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…